cdm IKICHUKUA NCHI 2015 WHICH IS EMINENT MCHAKATO UNAANZA UPYA HUU WA KIHUNI TUTAACHANA NAO HAUTUFAI KABISA. INAKUWAJE TUPO KWENYE MCHAKATO JK ANAINGIA MIKATABA 17 NA CHINA KWA MKUPUO .JE BAADHI KAMA YAMEAINISHWA KUREKEBISHA NA YEYE KASHAINGIA MIKATABA YA MIAKA 100 SIMNAONA TUNAVYOCHEZEWA WATANGANYIKA? HII SIYO HAKI LAZIMA ONE DAY MCHAKATO WA KATIBA UFANYWE UPYA NA WATU WOTE WASHIRIKISHWE BILA KUSHURUTISHWA KAMA INAVYOFANYWA NA MAGAMBA HAWA WASIO NA CHEMBE YA UCHAJI WALA KUMUOGOPA MUNGU HATA KIDOGOWameshatuburuza mpaka hapo, sasa ni kutafuta tunafanyaje kukabili kile walicholenga. Ccm wamezoea hujuma ktk kila kitu. Ndiyo maana wanapenda kuwa na watu mbumbumbu ili kile kilichopangwa/kuamriwa na wachache(vikao), wanachama na wabunge wao wasiweze kupinga wala kujengea hoja. Kwa ujumla nchi yetu iko mikononi mwa watu 31/32 tu (cc ya ccm). Kuna haja ya kujiandaa kupiga kura ya HAPANA, ingawa hata hizo kura wataziiba tu. Ogopo chama na dola iliyochanganyikiwa kwa rushwa na dawa za kulevya!!!!!