CCM watashinda, lakini wajue hukumu hiyo itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya

1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama milele.

2. Itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na katiba mpya na tume huru
 
Tunajua maelekezo lazima aywe yametolewa. CCM na samia mjue mtashinda kwa hila kama ilivyo ada, lakini mjue hukumu hii italeta haya

Wanajiqminina kuwa wao ndo kila kitu
 
Tunajua maelekezo lazima aywe yametolewa. CCM na samia mjue mtashinda kwa hila kama ilivyo ada, lakini mjue hukumu hii italeta haya

1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama milele.

2. Itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na katiba mpya na tume huru
Upo sahihi hukumu inatoka Ikulu
 
Kama ulimsikiliza Rosttamu kuhusu majaji na mahakimu kupigiwa simu wala huwezi shangaa mana mihimili ya tanzania iko compromised na mwenyekiti wa chama cha mafisadi.
 
Hizi mahakama za mchongo, Rostamu alishasema zinapokea maelekezo.

Haijalishi watatoa hukumu gani, Hatutaacha kudai bandari zetu mpaka kieleweke.

Tunajua Majaji wamepewa maelekezo watoe hukumu ya kukubaliana na mkataba huu feki. Kwa hiyo haijalishi wataamua nini, huu mkataba ni wa mchongo
 
hahaaaa mnalia nini sasa kama mnajua hukumu hataikuwa sawa mlienda mahakamani kutafta nini? mshaanza kuhamisha magoli sio
 
Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya

1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama milele.

2. Itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na katiba mpya na tume huru
Maneno ya Rostam juu ya Mahakama zetu yana uzito na leo yanatimia
 
Bandari zetu Tanganyika sio mali ya CCM, hili lieleweke wazi, wasijidanganye kwa ushindi wa kesi wakadhani ndio mwisho wa kudai bandari zetu, hii ngoma bado mbichi.
 
Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya

1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama milele.

2. Itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na katiba mpya na tume huru
Mna shida sana nyie, mbona hamjiamini? Na hapa ndo mnawatisha watu wasifanye kazi zao kiweledi ila wawasikilize nyie tuuu au?
 
Wawe maakini sana na hukumu yao . Watoe haki bila upendeleo.
 
hahaaaa mnalia nini sasa kama mnajua hukumu hataikuwa sawa mlienda mahakamani kutafta nini? mshaanza kuhamisha magoli sio
Washangaza na kukera na kuchekesha kwa wakati mmoja. Kiufupi hakuna utakachofanya kwa haters hawa wakatulia. We panga yako, yafanye. Ukisema uwasikilize hawa utamaliza hata vipindi 10 bila kufanya lolote la maana. Hakuna kiongozi ambaye angefanya makubwa nchi kama kikwete, tatizo akawa anawasikiliza sana hawa kina matobo lissu na matokeo muda na mipango mingi ikawa inakwamishwa kwa makusudi.

Mama asipofuata mtindo wa jpm katika kuwakabili hawa, atajuta!
 
whatever, tumechoka
Nyie kama mmechoka basi sisi wananchi wa Tanzania bado kabisaaaaa! Hatujachoka, miguvu imetujaa tele na tuna imani isiyomithilika na raisi wetu mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!!!!
 
Rubbish Rubbish! The mother of arabs! of course!
Mahakama ya wananchi itachemka zaidi trust me mabi ushungi this time atasepa kwenda pemba for ever! Yeye aendelee kutoa mimacho ya bundi tu! Bandari haiuzwi kwa hongo! NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!
 
Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya

1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama milele.

2. Itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na katiba mpya na tume huru
muwe mnajiamini, siyo kila kitu kulalamika
 
Back
Top Bottom