Wanajiqminina kuwa wao ndo kila kituTunajua maelekezo lazima aywe yametolewa. CCM na samia mjue mtashinda kwa hila kama ilivyo ada, lakini mjue hukumu hii italeta haya
1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama milele.
2. Itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na katiba mpya na tume huru
Upo sahihi hukumu inatoka IkuluTunajua maelekezo lazima aywe yametolewa. CCM na samia mjue mtashinda kwa hila kama ilivyo ada, lakini mjue hukumu hii italeta haya

Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya
1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama milele.
2. Itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na katiba mpya na tume huru
Maneno ya Rostam juu ya Mahakama zetu yana uzito na leo yanatimiaTunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya
1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama milele.
2. Itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na katiba mpya na tume huru
Mna shida sana nyie, mbona hamjiamini? Na hapa ndo mnawatisha watu wasifanye kazi zao kiweledi ila wawasikilize nyie tuuu au?Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya
1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama milele.
2. Itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na katiba mpya na tume huru
Washangaza na kukera na kuchekesha kwa wakati mmoja. Kiufupi hakuna utakachofanya kwa haters hawa wakatulia. We panga yako, yafanye. Ukisema uwasikilize hawa utamaliza hata vipindi 10 bila kufanya lolote la maana. Hakuna kiongozi ambaye angefanya makubwa nchi kama kikwete, tatizo akawa anawasikiliza sana hawa kina matobo lissu na matokeo muda na mipango mingi ikawa inakwamishwa kwa makusudi.hahaaaa mnalia nini sasa kama mnajua hukumu hataikuwa sawa mlienda mahakamani kutafta nini? mshaanza kuhamisha magoli sio
whatever, tumechokaMna shida sana nyie, mbona hamjiamini? Na hapa ndo mnawatisha watu wasifanye kazi zao kiweledi ila wawasikilize nyie tuuu au?
johnthebaptist si umeshaona dana dana zinaanza? Registrar peke yake anaweza kusoma hukumu... sasa mahairisho ya nini?Ngoja tuone
Nyie kama mmechoka basi sisi wananchi wa Tanzania bado kabisaaaaa! Hatujachoka, miguvu imetujaa tele na tuna imani isiyomithilika na raisi wetu mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!!!!whatever, tumechoka
Rubbish Rubbish! The mother of arabs! of course!Nyie kama mmechoka basi sisi wananchi wa Tanzania bado kabisaaaaa! Hatujachoka, miguvu imetujaa tele na tuna imani isiyomithilika na raisi wetu mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania!!!!
muwe mnajiamini, siyo kila kitu kulalamikaTunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya
1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama milele.
2. Itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na katiba mpya na tume huru