Kasheshe lilianza jana usiku gari la matangazo la ccm lilipoingia kutangaza sherehe zao..wanafunzi walilizingila gali na kuliteka huku wengine wakilipiga mawe na kutaka kutoa upepo.dereva alipopata mpenyo alitoka speed kukimbia kichapo,leo asubuhi wanafunzi waliamka na kukusanyika ili kupambana na magar yote yanayokuja kuchukua wanaccm chuo..hakika kila aliyeonekana amevaa nguo za kijani alizomewa na wanafunz wake kwa waume,kubwa zaid gar zilipoanza kuja kuchukua wanaccm zilikimbizwa na wanafunz had nje ya eneo la chuo.hakika ni wanaccm wasiozid 15,ndio waliokuwa wamevaa nguo za kijan na kufanikiwa kutembea kwa miguu had nje ya chuo kupanda gari.nawakilisha wadau..