kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 513
Waliambia, kuwafungia wapinzani sio vizuri. Wangewaruhusu. Leo wasingekua na mikutano na waandishi wa habari mara kwa mara kujieleza au kufafanua mambo wanayo dai upinzani unapotosha. Wangilelijua hili, wapinzani wangekua wameshaongea yote huko nyuma na serikali ingewajibu.
Sasa wakaamua kufunga koki, na siasa limefunguliwa, wapinzani wanataka majibu ya hoja zao.
Pili, wananchi wallichoka kuona chama kimoja kinafanya. Siasa ndani ya miaka Kitano, ndio maana wanafulika kwenda kusikiliza Sera mmbadala. Hii habari ya ndege, reli, bwawa na barabara imesemwa sana wamechoka.
Uchumi wakati sijui nini? Wamechoka navyo. Kiuhalisia haki yakiuchumi ni mbaya, wananchi hanahela, maisha nimagumu. Haki si hali, watu wanataka maendeleo ya maisha yao yaende sambamba na maendeleo ya vitu.
Ukweli ni kwamba watu wenye maisha.bora wanakula vizuri na hawaumwiumwi. Gharama ya afya inakua mdogo, watu wanakua na uwezo wakufanya maendeleo vizuri.
Washauru na kiburi cha rais kimeifikisha pabaya CCM na kashindwa kuwambia wananchi kwanini halizao ni mbaya.
Kuna waposhaji wengi ndani ya CCM wanao jari marumbo yao tu na vyeo na sio wananchi. Wako radhi waters Sera mbovu ilimradi tuu wake kuteuliwa na kupata ulaji.
Fikirieni Polepole alivyo kua mkali na swala lakatiba mpya, Leo bila haya, kwavile kapata ulaji, yupo kimia kuhusu katiba mpya. Amekua na kigugumizi, maana katiba iliuyopo kwa sasa yampendelea yeye, anawambiya wa Tanzania, Katiba sio kipaumbele.
Hii ndio CCM, ulaghai mtupu, Leo wanaomba ridhaa nyingine, wakiingia madarakani ili wananyanyasa watu. Hawajibu mbona kulikua wimbi kubwa la wasiojulikana, hiyo hoja wanaikwepa wakuja kutwambia tu dumishe AMANI.
Amani ni tunda la haki, engua wabunge wa upinzani tu, wao wapite bila kupingwa majimboni, ni haki hiyo?/Wananchi wa hayo majimbo ya waliopita bila kupingwa, wamenyimwa haki yakuchagua viongozi wao, wamenyimwa Uhuru wakuchagua viongozi wao.
CCM fanyeni UKAGUZI WA KINA NDANI YA CHAMA CHENU mutapata majawabu yakwanini wananchi wanachukia chama chenu.
Kama mungekua wasafi, musingepata taabu kama hii kwenye mikutano yenu.
Kusombelea watu, na kuzurula na wasani wote wa nchi ma kuwalipa ma bilioni yote hayo. Hela yakuboresha maslahi ya wafanyakazi haipo, hela ya kuchezea kwenye kampeni ipo, tatumishi wawaeleweje?
Wastaafu mafao yao kuwalipa nishida, bado watu walipishwa kujifungua, wazee wanalipishwa kila kitu chemu nikinyume na munavyonadi CCM.
Jueni kwamba kila kitu kina mwisho wake. Ngoma ikipigwa sana, inapasuka, ndio wakati huu CCM munahali ngumu. Jibuni hoja bila hasira.