Uchaguzi 2020 CCM watulie tu siasa walifanya peke yao miaka mitano

kamtesh

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,395
Reaction score
513
Waliambia, kuwafungia wapinzani sio vizuri. Wangewaruhusu. Leo wasingekua na mikutano na waandishi wa habari mara kwa mara kujieleza au kufafanua mambo wanayo dai upinzani unapotosha. Wangilelijua hili, wapinzani wangekua wameshaongea yote huko nyuma na serikali ingewajibu.

Sasa wakaamua kufunga koki, na siasa limefunguliwa, wapinzani wanataka majibu ya hoja zao.

Pili, wananchi wallichoka kuona chama kimoja kinafanya. Siasa ndani ya miaka Kitano, ndio maana wanafulika kwenda kusikiliza Sera mmbadala. Hii habari ya ndege, reli, bwawa na barabara imesemwa sana wamechoka.

Uchumi wakati sijui nini? Wamechoka navyo. Kiuhalisia haki yakiuchumi ni mbaya, wananchi hanahela, maisha nimagumu. Haki si hali, watu wanataka maendeleo ya maisha yao yaende sambamba na maendeleo ya vitu.

Ukweli ni kwamba watu wenye maisha.bora wanakula vizuri na hawaumwiumwi. Gharama ya afya inakua mdogo, watu wanakua na uwezo wakufanya maendeleo vizuri.

Washauru na kiburi cha rais kimeifikisha pabaya CCM na kashindwa kuwambia wananchi kwanini halizao ni mbaya.

Kuna waposhaji wengi ndani ya CCM wanao jari marumbo yao tu na vyeo na sio wananchi. Wako radhi waters Sera mbovu ilimradi tuu wake kuteuliwa na kupata ulaji.

Fikirieni Polepole alivyo kua mkali na swala lakatiba mpya, Leo bila haya, kwavile kapata ulaji, yupo kimia kuhusu katiba mpya. Amekua na kigugumizi, maana katiba iliuyopo kwa sasa yampendelea yeye, anawambiya wa Tanzania, Katiba sio kipaumbele.

Hii ndio CCM, ulaghai mtupu, Leo wanaomba ridhaa nyingine, wakiingia madarakani ili wananyanyasa watu. Hawajibu mbona kulikua wimbi kubwa la wasiojulikana, hiyo hoja wanaikwepa wakuja kutwambia tu dumishe AMANI.

Amani ni tunda la haki, engua wabunge wa upinzani tu, wao wapite bila kupingwa majimboni, ni haki hiyo?/Wananchi wa hayo majimbo ya waliopita bila kupingwa, wamenyimwa haki yakuchagua viongozi wao, wamenyimwa Uhuru wakuchagua viongozi wao.

CCM fanyeni UKAGUZI WA KINA NDANI YA CHAMA CHENU mutapata majawabu yakwanini wananchi wanachukia chama chenu.
Kama mungekua wasafi, musingepata taabu kama hii kwenye mikutano yenu.

Kusombelea watu, na kuzurula na wasani wote wa nchi ma kuwalipa ma bilioni yote hayo. Hela yakuboresha maslahi ya wafanyakazi haipo, hela ya kuchezea kwenye kampeni ipo, tatumishi wawaeleweje?

Wastaafu mafao yao kuwalipa nishida, bado watu walipishwa kujifungua, wazee wanalipishwa kila kitu chemu nikinyume na munavyonadi CCM.

Jueni kwamba kila kitu kina mwisho wake. Ngoma ikipigwa sana, inapasuka, ndio wakati huu CCM munahali ngumu. Jibuni hoja bila hasira.
 
Admin badilisheni hapo kwenye kichwa cha huu uzi, mwandishi wa uzi amekosea kidogo (Matatizo ya kiufundi au pengine ni matatizo ya kibinaadamu), badala ya "MIAKA 5" wekeni "KUANZIA SHERIA YA VYAMA VINGI KUANZISHWA" au "KUANZIA NCHI IMEPATA UHURU".
 
Naam naon wananchi wanaichukia CCM ! Mna ubongo mtupu sana chadema
 
Admin badilisheni hapo kwenye kichwa cha huu uzi, mwandishi wa uzi amekosea kidogo (Matatizo ya kiufundi au pengine ni matatizo ya kibinaadamu), badala ya "MIAKA 5" wekeni "KUANZIA SHERIA YA VYAMA VINGI KUANZISHWA" au "KUANZIA NCHI IMEPATA UHURU".
Waliambiwa kuwafungia wapinzani sio vizuri.

Wangewaruhusu. Leo wasingekua na mikutano na waandishi.wa habari mara kwa mara kujieleza au kufafanua mambo wanayo dai upinzani unapotosha. Wangilelijua hill, wapinzani wamgekua.wameshaongea yote huko myuma na serekali ingewajibu.

Sasa wakaamua kufunga koki, na siasa limefunguliwa, wapinzani wanataka majibu ya hoja zao.

Pili, wananchi wallichoka kuona chama kimoja kinafanya.siasa ndani ya miaka Kitano, ndo maana wanafulika kwenda kusikiliza Sera mmbadala. Hii habari ya ndege, reli, bwawa na barabara imesemwa sana wamechoka.

Uchumi wakati sijui nini? Wamechoka navyo. Kiuhalisia haki yakiuchumi ni mbaya, wananchi hanahela, maisha nimagumu. Haki si hali, watu wanataka maendeleo ya maisha yao yaende sambamba na maendeleo ya vitu.

Ukweli ni kwamba watu wenye maisha.bora wanakula vizuri na hawaumwiumwi. Ghalama.ya afya inakua mdogo, watu wanakua na uwezo wakufanya maendeleo vizuri.

Washauru na kiburi cha rais kimeifikisha pabaya CCM na kashindwa kuwambia wananchi kwanini halizao ni mbaya.

Kuna waposhaji wengi ndani ya CCM wanao jari marumbo yao tuu na vyeo na sio wananchi. Wako radhi waters Sera mbovu ilimradi tuu wake kuteuliwa na kupata ulaji.

Fikilieni Polepole alivyo kua mkali na swala lakatiba mpya, Leo bila haya, kwavile kapata ulaji, yupo kimia kuhusu kabita mpya. Amekua na kigugumizi, maana katiba iliuyopo kwa sasa yampendelea yeye, anawambiya wa Tanzania, Katiba sio kipaumbele.

Hii ndo CCM, ulaghai mtupu, Leo wanaomba ridha nyingine, wakiingia madarakani ili wananyanyasa watu. Hawajibu mbona kulikua wimbi kubwa la wasiojulikana, hiyo hoja wanaikwepa wakuja kutwambia tu dumishe AMANI.

Amani ni tunda la haki, engua wabunge wa upinzani tuu, wao wapite bila kupingwa majimboni, ni haki hiyo?/Wananchi wa hayo majimbo ya waliopita bila kupingwa, wamenyimwa haki yakuchagua viongozi wao, wamenyimwa Uhuru wakuchagua viongozi wao.

CCM fanyeni UKAGUZI WA KINA NDANI YA CHAMA CHENU mutapata majawabu yakwanini wananchi wanachukia chama chenu.
Kama mungekua wasafi, musingepata taabu kama hii kwenye mikutano yenu.

Kusombelea watu, na.kuzurula na wasani wote wa nchi ma kuwalipa ma bilioni yote hayo. Hela yakuboresha maslahi ya wafanyakazi haipo, hela ya kuchezea kwenye kampeni ipo, tatumishi wawaeleweje?

Wastaafu mafao yao kuwalipa nishida, bado watu walipishwa kujifungua, wazee wanalipishwa kila kitu chemu nikinyume na munavyonadi CCM.

Jueni kwamba kila kitu kina mwisho wake. Ngoma ikipigwa sana, inapasuka, ndo wakati huu CCM munahali ngumu. Jibuni hoja bila hasira.

Wametunyanyasa sana wa Tanzania tangia mfumo wa vyama vingi wameongoza wao. Mikataba yote mibovu, ni wao, escrow, EPA, Richmond sijui uchafu gani, ni wao. Tutakuja sikia muda simrefu ufisadi wa Bwawa la Nyerere, Ndege, Uwanja wa Chato, Reli na Hela ya Kuhamia Dodoma.
 
Its true ungewaacha wapinzani bila kuwabana tungeliwazoea na serikali ingeenda huku ikia dopt mapungufu yake toka upinzani na kujazia hivyo kwa vyovyote at the end upinzani ungekosa hoja na suala la msingi
 
Naam naon wananchi wanaichukia CCM ! Mna ubongo mtupu sana chadomoView attachment 1579972
Hiyo sio ishu ndugu ya hiyo nyomi ya kusombelea. Mpaka kutumia hela na gharama kubwa kiasi hicho. Hivi wangeboresha maisha ya watu na kujenga hiyo miradi, wasingechukiwa kiasi hiki.

Ona walivyo pitisha sheria za kipuzi za uchaguzi na vyama vya siasa ili kukandamiza upinzani. Wao wakiungwa mkono na upinzani akina Mrema, John Cheo na vyama vingine, nisawa msajiri hasememi chochote.

Wamesikia tamko la ACT wazalendo kuunga mkono Chadema, tayari wamehatarisha kwamba litakua kosa. Mkuki kwa nguluwe. Ndo hspo tunasema.

Lengo na nia ya hii sheria ni ovu. Watu kuungana ni Uhuru wao. Lakini kwavile wanajua umoja ninguvu na waliona shughuli ya 2015, wakashauliana tutunge sheria ili kudhibi hawa wapinzani kuungana.

Sasa kama umefanya makubwa, unaweweseka mini CCM? Hofu ya nini? Mpaka kujipitisha bila kupingwa, figisu nyingi, za nini? Wanajua hawakubaliki brother that is the fact.
 
Leo utamsikia Polepole na majibu ya uongo na kwendeleza hadithi ya Reli, Ndege, barabara, Uchumi wakati, Bwawa la Nyerere na Zahanati. Huu upuuzi ndo hatuutaki, hali ni ngumu ya maisha. Jengeni uchumi kwa kubalance. Mbona wakati wa kikwete barabara kibao ziliendelea kujenga NA wanyakazi walipsta stahiki na nyongeza zao.

Watoto wangu hawahi ndege, ingizeni hela watu waishi maisha mzuri wale vizuri, hawatenda hospitali. Ajira hakuna, vijana wapo mitaani, wakuja na propaganda nyepese hapa. Wanafikiri wa Tanzania wajinga na mazuzu tuu. Ndio maana wametupa na kina la wanyonge. Mnyonge, hana nguvu, wala hawezi hoji, yaani ni mtumwa hana kauli, ndivyo CCM inavyotaka.

Hii ni karine ya 21, watu wameamka hawataki ujinga. Ukitaka kuona hali halisi ya CCM, angalia mikutano ya wabunge wao, waziri mkuu, makamu wa raisi hamna watu.

CCM munasomba watu kumdanganya Rais kwamba anapendwa?

Kutakua kama Ulaya ndani ya miaka Kitano haiwezekani. Angalieni umri wa USA, CCM mujichelewesha wenyewe. Angalie Malaysia, Korea hats China tulikua level moja tuu, wametupita. Sisi tumekua na viongozi wa chamakimoja miaka mingi tangia Uhuru, wezi na wasio penda nchi yao.

Ndo maana kwa aibu hawaitambulishi serekali kua ya CCM, wanasema ya Magufuli, ili ioneka ndo kwanza chama chake kimeingia madarakani. Uongo na unafiki mkubwa, CCM ni ileile, haitobadilika. That is why we need a change political ideology. Hatuwezi tukawa na Sera zilezile za chama kilekile na kutarajia mapya? Huo ni uwenda wazimu, we need overhauling and flushing out the entire system kandamizi.
 
Walijifanya ni watetezi wa wanyonge, kumbe ni wapiga dili wakubwa. Sifa zoote zinazotolewa kuhusu miradi mikubwa iliyoanzishwa, kumbe nyuma ya pazia yupo mtu na mjombae wakifanya yao sirini juu ya fedha za umma.
 
We jamaa, umefanya niianze hii siku kwa furaha.


YESU NI BWANA.
 
Kafulira David, ache njaa zake na kudanganya wa Tanzania. Channel 10 hawaonyeshi mikutano wa Chadema, ila wataonyesha ya Lipumba, Chauma, TLP yaani mikutano ya vyama ambavyo wameviuwa. ACT na Chadema hawaonyeshi. Huyu bwana mdogo Kafulira anakuja na hoja eti Tanzania unafanya vizuri kwe uchumi, ipo juu, tokana na World Economic Forum Report, anajaribu kupotosha wa Tanzania makusudi kwa njaa zake baada yakukosa ubunge kutafuta kuteuliwa.

Kujipendekeza, unafiki ndio jadi yama CCM. Wanajua na takwimi zakipuuzi kufurahisha mkulu, ili kuusemea uchumi wakati. Sasa wavyo pigia chapuo uchumi wakati tulio ungia July, tumekua na trickle effect gani kwa wananchi mpaka ukapigie chapuo kiasi hiki? The effect so far is zero, lakini ma CCM wanavyoongelea utafikiri kila mtanzania anakula bata. The fact is wanatafuta uhalali wakuendelea wao kupita pesa kwa kulaghai wa Tanzania kwa kupuliza vipenga vya uchumi wakati.

Ya uchumi wakati ilipotoka kwa mabebelu, waliipokea haraka mno. Juzi Kabudi kapa report inayoonyesha kwamba Tanzania wapinzani na ccm hawana coverage sawa ya matangazo na air time ya kulingana, wameikanusha vibaya mno. Lakini huo ndio ukweli. Vyombo vya habari havitoi fursa sawa kwa wapinzani. Mfano, mara zote ccm na Magufuli wakiwa na kampeni, zimekua zikurushwa live, TBC, ITV, Channel Ten, Clouds, TVE, Star tv na Wasafi TV.

Hatujaona Live za Lissu isipokua wakati wa uzinduzi tuu na ilikua TBC tuu kwa figisu. Fimbo ya ccm, wanyime wapinzani TV coverage wasionekane, ila walisahau uwepo wa smart phone na online tv. Imekula kwao. Mpaka 1958-61, akina Nyerere hawakutumia TV walitumia watu na mikutano, na nchi ikapata Uhuru. Leo ccm chukuweni TV station zote, ila mtapigwa tu.

Eti mchezo bado hujaanza, timu moja inapewa magori matatu ya kianzio, (kupita bila kupingwa), basi timu ilio tanguliziwa magori inafurahia kucheza mechi, na hiyo ambayo haijapewa itasema. Maana hata wachezaji wao mahili, refa amewaengua engua, kina mechi hapo? Halafu refa unasitiza Moira uchezwe vizuri bila faulo, na refa kuanza kuhubiri Amani na upendo. CCM mnachekesha sana kwa kutuchukulia poa sana wa Tanzania. Ila kilichokua na mwanzo hakikosi mwisho. Sasa huu ndio mwisho wao.
 
Nashangaa kwa nini Watanzania hawamkumbushi Magufuli fedha aliyo wahaidi milioni 50 kila kijiji
Ilishaliwa hiyo, lilikua changa la macho ili waingie Ikulu, Leo ukiuliza wanasema sio lazima iwe kesho. Tumewaletea umeme, maji na elimu bure, ndio 50 milioni imeishia hapo. Lugha za matapeli.. Kwahiyo tulisha tapeliwa hapo hatukomi kujaza kwenye mikutano yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…