Bado fursa ipo. Sema wajitahidi na hio pointi namba 9 na 10, wakati si rafiki.WAMECHELEWA SANAAAA
Haya ni mapungufu kulingana na matakwa yako, watu tunatofautiana,Tunaendelea kukumbushana wajibu wetu kwa mustakbali wa taifa.
Kila kwenye mazuri na mapungufu hayakosi. Leo tena ninawaomba wale wazalendo wa kweli ndani yaCCM wafuate nyayo za hivi karibuni za Mstaafu JK. Jaribuni kutumia fursa kumwambia ukweli Rais JPM.
Kwanza mtangulize nia njema na muwe tayari kujitoa kwa maslahi ya wengi.
Walau kwa leo mwambieni haya.
i. Maendeleo ya vitu yaende sambamba na maendeleo ya watu, kila palipobinywa pafunguliwe ili iwe rahisi wananchi kumuelewa rais wetu.
ii. Akubali changamoto ya kukosolewa na asiweke nongwa kwa wakosoaji wake ilimradi iwe kwa maslahi ya Taifa. Misingi ya wajibu na usawa kwenye fursa za kisiasa isitenganishwe kwa itikadi, ajitahidi kusimamia hilo.
iii. Hebu atumie fursa ya cheo chake kuliweka Taifa linapostahili kwa kukuza umoja na mshikamano wa kitaifa. Hakuna atakachokosa akifanya hivyo zaidi ya kupongezwa.
iv. Mwambieni wafanyakazi wa serikali na binafsi wanahitaji kufikiriwa na kupata tumaini la ujio wa JPM. Bado wanaona taarifa za kusifu ni nyingi lakini uhalisia hawauoni.
v. Diplomasia yetu haipaswi kuwekwa kwenye mabano, kamwe asijaribu kujitenganisha na wenye nguvu za dunia hii. Awatumie wazoefu watamsaidia. Anaweza kujifunza kupitia Kwa Mwalimu Nyerere na akapata cha kujifunza.
vi. Mwambieni asikaribishe uhasama ndani ya nchi kwa kuwanyima haki na kuvikandamiza vyama vya siasa. Kamwe asitumie msuli wa madaraka ambapo kila mtu anamuona peupe walau ajifiche na ionekane pasi shaka kwamba anatenda haki kwa wote.
vii. Afanyie kazi malalamiko yaliyoanza kuchipuka kutoka kwa waislamu kuhusu upendeleo wa teuzi.
viii. Hebu na yeye ajaribu kuwa mvumilivu na kuwakuza watendaji ambao anadhani hawaendani na kasi yake kwa kuwapa "coaching" kutumbua tu sio "Approach" pekee. Ajitahidi kuwa mvumilivu na kutengeneza "future" ya wasaidizi. Hili tafadhalini mwambieni kwa dhati kabisa.
ix. Mwisho si kwa umuhimu kwa leo, ni kutengeneza HATMA kuelekea uchaguzi wa 2020. Mwambieni asihadaliwe na nguvu za vyeo alivyonavyo, asijisahau akafanya makosa ya marais wengine kwenye nchi nyengine za Afrika. Maadui wa Tanzania ni wengi kamwe asaifanye kosa la kiufundi na akasahau maarifa, busara na azma ya Utaifa wetu. Uchaguzi huu una fumbo lililojificha kutokana na yale yaliyotangulia kwenye chaguzi za marejeo majimboni na serikali za Mitaa, 2019. Mwambieni kaikuta Tanzania ni moja basi na ajitahidi kuiweka kuwa moja zaidi.
x. Mwambieni watanzania wanahitaji katiba mpya kwa haraka ya Warioba ili kupoza machungu na kuziba nyufa za kuihatarisha Tanzania na mkondo mbaya.
Kishada.
Tunaendelea kukumbushana wajibu wetu kwa mustakbali wa taifa.

WAMECHELEWA SANAAAA
Bado fursa ipo. Sema wajitahidi na hio pointi namba 9 na 10, wakati si rafiki.
Mwandikie barua ni haki yako unataka nani amwambie, kwani wewe siyo mtanzania acha tabia za wajumbe
Unawaambia mashetani ccm waache kumsifia ili wapate vyeo.......
Aksante. Hakuna ndani ya CCM atakayediriki kumwambia haya. Kila mtu anayemsaidia ni anaogopa kutumbuliwa. Watu wa kumwambia haya ni wapinzani tu. Tena wapinzani kweli kweli. Ambao ni CHADEMA, ACT, na wengine wenye uchungu na nchi hii, pamoja na wale wanokerwa na hali hii.Tunaendelea kukumbushana wajibu wetu kwa mustakbali wa taifa.
Kila kwenye mazuri na mapungufu hayakosi. Leo tena ninawaomba wale wazalendo wa kweli ndani yaCCM wafuate nyayo za hivi karibuni za Mstaafu JK. Jaribuni kutumia fursa kumwambia ukweli Rais JPM.
Kwanza mtangulize nia njema na muwe tayari kujitoa kwa maslahi ya wengi.
Walau kwa leo mwambieni haya.
i. Maendeleo ya vitu yaende sambamba na maendeleo ya watu, kila palipobinywa pafunguliwe ili iwe rahisi wananchi kumuelewa rais wetu.
ii. Akubali changamoto ya kukosolewa na asiweke nongwa kwa wakosoaji wake ilimradi iwe kwa maslahi ya Taifa. Misingi ya wajibu na usawa kwenye fursa za kisiasa isitenganishwe kwa itikadi, ajitahidi kusimamia hilo.
iii. Hebu atumie fursa ya cheo chake kuliweka Taifa linapostahili kwa kukuza umoja na mshikamano wa kitaifa. Hakuna atakachokosa akifanya hivyo zaidi ya kupongezwa.
iv. Mwambieni wafanyakazi wa serikali na binafsi wanahitaji kufikiriwa na kupata tumaini la ujio wa JPM. Bado wanaona taarifa za kusifu ni nyingi lakini uhalisia hawauoni.
v. Diplomasia yetu haipaswi kuwekwa kwenye mabano, kamwe asijaribu kujitenganisha na wenye nguvu za dunia hii. Awatumie wazoefu watamsaidia. Anaweza kujifunza kupitia Kwa Mwalimu Nyerere na akapata cha kujifunza.
vi. Mwambieni asikaribishe uhasama ndani ya nchi kwa kuwanyima haki na kuvikandamiza vyama vya siasa. Kamwe asitumie msuli wa madaraka ambapo kila mtu anamuona peupe walau ajifiche na ionekane pasi shaka kwamba anatenda haki kwa wote.
vii. Afanyie kazi malalamiko yaliyoanza kuchipuka kutoka kwa waislamu kuhusu upendeleo wa teuzi.
viii. Hebu na yeye ajaribu kuwa mvumilivu na kuwakuza watendaji ambao anadhani hawaendani na kasi yake kwa kuwapa "coaching" kutumbua tu sio "Approach" pekee. Ajitahidi kuwa mvumilivu na kutengeneza "future" ya wasaidizi. Hili tafadhalini mwambieni kwa dhati kabisa.
ix. Mwisho si kwa umuhimu kwa leo, ni kutengeneza HATMA kuelekea uchaguzi wa 2020. Mwambieni asihadaliwe na nguvu za vyeo alivyonavyo, asijisahau akafanya makosa ya marais wengine kwenye nchi nyengine za Afrika. Maadui wa Tanzania ni wengi kamwe asaifanye kosa la kiufundi na akasahau maarifa, busara na azma ya Utaifa wetu. Uchaguzi huu una fumbo lililojificha kutokana na yale yaliyotangulia kwenye chaguzi za marejeo majimboni na serikali za Mitaa, 2019. Mwambieni kaikuta Tanzania ni moja basi na ajitahidi kuiweka kuwa moja zaidi.
x. Mwambieni watanzania wanahitaji katiba mpya kwa haraka ya Warioba ili kupoza machungu na kuziba nyufa za kuihatarisha Tanzania na mkondo mbaya.
Kishada.
Ujumbe umeshamfika. Hapa naomba ushawishi kwa wana CCM wazalendo. Kama wewe sie iache.Mwandikie barua ni haki yako unataka nani amwambie, kwani wewe siyo mtanzania acha tabia za wajumbe
Mkuu kuna watu wana busara zao ndani ya CCM.Unawaambia mashetani ccm waache kumsifia ili wapate vyeo.......
Myopic thinking. You better look for "Ngoko-nghima".Haya ni mapungufu kulingana na matakwa yako, watu tunatofautiana,
Mfano ukimkuta mwanamke Ana matiti madogo na wewe unapenda makubwa haimaanishi Ana mapungufu ila kwa matakwa yako utaona mapungufu, Wengine wanaona Poa kabisa hakuna shida.
KISHADATunaendelea kukumbushana wajibu wetu kwa mustakbali wa taifa.
Kila kwenye mazuri na mapungufu hayakosi. Leo tena ninawaomba wale wazalendo wa kweli ndani yaCCM wafuate nyayo za hivi karibuni za Mstaafu JK. Jaribuni kutumia fursa kumwambia ukweli Rais JPM.
Kwanza mtangulize nia njema na muwe tayari kujitoa kwa maslahi ya wengi.
Walau kwa leo mwambieni haya.
i. Maendeleo ya vitu yaende sambamba na maendeleo ya watu, kila palipobinywa pafunguliwe ili iwe rahisi wananchi kumuelewa rais wetu.
ii. Akubali changamoto ya kukosolewa na asiweke nongwa kwa wakosoaji wake ilimradi iwe kwa maslahi ya Taifa. Misingi ya wajibu na usawa kwenye fursa za kisiasa isitenganishwe kwa itikadi, ajitahidi kusimamia hilo.
iii. Hebu atumie fursa ya cheo chake kuliweka Taifa linapostahili kwa kukuza umoja na mshikamano wa kitaifa. Hakuna atakachokosa akifanya hivyo zaidi ya kupongezwa.
iv. Mwambieni wafanyakazi wa serikali na binafsi wanahitaji kufikiriwa na kupata tumaini la ujio wa JPM. Bado wanaona taarifa za kusifu ni nyingi lakini uhalisia hawauoni.
v. Diplomasia yetu haipaswi kuwekwa kwenye mabano, kamwe asijaribu kujitenganisha na wenye nguvu za dunia hii. Awatumie wazoefu watamsaidia. Anaweza kujifunza kupitia Kwa Mwalimu Nyerere na akapata cha kujifunza.
vi. Mwambieni asikaribishe uhasama ndani ya nchi kwa kuwanyima haki na kuvikandamiza vyama vya siasa. Kamwe asitumie msuli wa madaraka ambapo kila mtu anamuona peupe walau ajifiche na ionekane pasi shaka kwamba anatenda haki kwa wote.
vii. Afanyie kazi malalamiko yaliyoanza kuchipuka kutoka kwa waislamu kuhusu upendeleo wa teuzi.
viii. Hebu na yeye ajaribu kuwa mvumilivu na kuwakuza watendaji ambao anadhani hawaendani na kasi yake kwa kuwapa "coaching" kutumbua tu sio "Approach" pekee. Ajitahidi kuwa mvumilivu na kutengeneza "future" ya wasaidizi. Hili tafadhalini mwambieni kwa dhati kabisa.
ix. Mwisho si kwa umuhimu kwa leo, ni kutengeneza HATMA kuelekea uchaguzi wa 2020. Mwambieni asihadaliwe na nguvu za vyeo alivyonavyo, asijisahau akafanya makosa ya marais wengine kwenye nchi nyengine za Afrika. Maadui wa Tanzania ni wengi kamwe asaifanye kosa la kiufundi na akasahau maarifa, busara na azma ya Utaifa wetu. Uchaguzi huu una fumbo lililojificha kutokana na yale yaliyotangulia kwenye chaguzi za marejeo majimboni na serikali za Mitaa, 2019. Mwambieni kaikuta Tanzania ni moja basi na ajitahidi kuiweka kuwa moja zaidi.
x. Mwambieni watanzania wanahitaji katiba mpya kwa haraka ya Warioba ili kupoza machungu na kuziba nyufa za kuihatarisha Tanzania na mkondo mbaya.
Kishada.
Safari ya utanzania lazima ipiganiwe na wote. Itakuwa vyema wakifanya hivyoWajumbe watafikisha salami
Haya ni mapungufu kulingana na matakwa yako, watu tunatofautiana,
Mfano ukimkuta mwanamke Ana matiti madogo na wewe unapenda makubwa haimaanishi Ana mapungufu ila kwa matakwa yako utaona mapungufu, Wengine wanaona Poa kabisa hakuna shida.
Duuu..... Mpaka uwapate. Labda ni 1% tu wenye busara zao.... Wengine wape sisi tunawapa wale 99%Mkuu kuna watu wana busara zao ndani ya CCM.
Sawa sawa mkuu....Magu akikosolewa ndio anasema; "sipendi matusi mimi..." Tumwache alivyo ila October tumwoneshe kuwa nchi hii sio mali yako binafsi ina wenyewe na wenyewe ni wapiga kura.
Takataka tu hii,nyie ndio mliokuwa mkimuita Kikwete ni dhaifu,pathetic ,leo kawa mtamu?Tunaendelea kukumbushana wajibu wetu kwa mustakbali wa taifa.