The Biggest IQ
Member
- Nov 24, 2010
- 54
- 3
katika hali ya kuonyesha mwisho wa CCM uchaguzi wa serikali ya wanafunzi MASO ktk chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu nyerere chuo ambacho hapo awali kilikuwa cha MAKADA matokeo yametoka na kuonyesha kuwa kada wa CCM Mahendeka Nsena amegalagazwa vibaya na kijana mdogo Chacha Nchangwa aliyekuwa akiungwa mkono na CHADEMA.
Peopl'z power imeendelea kuonyesha makali.Taarifa zimethibitisha kuwa kada huyo alitumia zaidi ya millioni tatu ili kuukwaa uraisi ila wapi!!!!
management ilijitahidi kuchakachua matokeo ila wapi!!!!!ilishindikana.
people'ssssssss...power
Hata uchaguzi wa mwenyekiti wa makondakta nchini nako CCM chali.
Labda watashinda uchaguzi wa Mwenyekiti wa Maiti zote nchini!
Poleni CCM,
Pole JK.
ushuzi mwingine tena unaleta rejao.kamwone dr utakuwa siyo mzima wewe.hao vijana wameenda chuo kusoma or kujiingiza kwenye siasa? Poor tanzania, kwa mtindo huu hatutafika!
ushuzi mwingine tena unaleta rejao.kamwone dr utakuwa siyo mzima wewe.
Hao vijana wameenda chuo kusoma or kujiingiza kwenye siasa? Poor Tanzania, kwa mtindo huu hatutafika!