CCM wazidi kugaragazwa na CHADEMA

duh,na udom walisema kama wewe,mwisho wa siku tunaa mbia aliye shinda ni "gamba"
 
Mwanza uchaguzi wa viongozi wa wamachinga nako ccm ilipigwa chali na cdm...
 

kwa nn asingesajiliwa?huu ni wakati wa mabadiliko makubwa ya kisiasa na yataendelea tunataka mpaka ma class representatives wanaounda bunge la wawakilishi nao wawe chadema it is underground movement.habari ndo hiyo
 
duh,na udom walisema kama wewe,mwisho wa siku tunaa mbia aliye shinda ni "gamba"

poleni sana UDOM ss tunajua namna ya kumdhibiti na kama asipocomply basi tunamtoa kama tulivyomuweka.tunauwezo huo na yy anajua ni kwa vp
 
Kipimo kizuri ni Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2013 ndipo mtajua kama CCM imechoka! Chaguzi za kuchagua vilanja vyuo vikuu sio kipimo!

Poti acha kutuaibisha, huwa hatuko hivyo hata siku moja.

Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika 2014, lada uniambie umebadilisha mwaka wa uchaguzi!!

BTW, Viranja(sio vilanja) wa vyuo vikuu ni wapiga kura halali ndani ya nchii, hata hivyo vyuo vikuu hatuna viranja. Inawezekana umejisahau ukataja vilanja bila kukusudia kwakuwa huo ndo mkakati wa chama cha magmaba kwa sasa kwa kuona hamkubaliki na wananfunzi wa vyuo vikuu kwahiyo mmeamua kujielekeza shule za msigi ndiko mnaongea na vilanja!!
 

asante mwita kwa kumuelimisha
 
Chuo ni taasisi inayosaidia kukuza 'charisma' or kipawa cha uongozi wa mtu kwa jamii yake. wanafunzi wanasoma huku wana'practice' leadership. ndo mana kuna oganaizesheni za wanafunzi mpaka shule za msingi. Rejao usiwe na fikra mgando.
 
tangu jana CCM haonekani anaogopa maana tumemvua. kwa kuwajulisha tu ndugu huyu ni katibu mwenezi wa CCM tawi la hapa chuoni tena katibu wilaya ya Rufiji
 
Matusi ya nini sasa! Nenda kasome usipoteze muda hapa JF na mambo yako ya kijinga ya siasa za vyuo! Rais wa chuo ni kilanja tu wa chuo sasa unataka watu wapoteze muda kujadili upuuuzi wako wa cheap politics za chuo! What a shame!

kama siasa za vyuo hazina maana basi viongozi wako wa magamba nao hawana maana kwani hutoa fedha nyingi kufadhili kampeni za wagombea magamba. kama hujui fanya utafiti, na kuanguka kwa wagombea makada wa kimagamba vyuoni ni kielelezo kingine k
https://www.jamiiforums.com
 
Walioanza kuingiza siasa vyuoni ni haohao CCM ss itawatokea puani.
VIjana wapambanaji wa CDM tupo tutapambana.
Management za vyuo hasa hiki cha Mwalimu Nyerere ni CCM watupu hawataki kusikia mabadiliko ila tunasema ''CHANGES IS A MUST''
 
Hao vijana wameenda chuo kusoma or kujiingiza kwenye siasa? Poor Tanzania, kwa mtindo huu hatutafika!
Kwani siasa inaanzia wapi, ukimaliza chuo tu, mbona toka enzi za mwalimu alika anasomesha makada wa ccm
 

Chuo kibague wanafunzi kwani kimejengwa kwa hela za mamako? Kama mnataka vyuo vya kubagua kwa itikadi kaanzishe kwenye ofisi za ccm
 
Hao vijana wameenda chuo kusoma or kujiingiza kwenye siasa? Poor Tanzania, kwa mtindo huu hatutafika!

Unataka tufike wapi mliposhindwa kutufikisha kwa miaka 50? chuo wanafanya vyote,siasa na masomo. Nawakilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…