Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwa maslahi mapana ya Taifa!Ukimwamsha aliyelala utalala wewe
Ni muhimu zaid kila chama cha siasa kikajizatiti kikamilifu kwenye misingi, itikadi, madhumuni na malengo ya kuanzishwa kwake.Wanasaikolojia husema binadamu (siyo mtu) dhaifu hujaribu kuficha udhaifu wake kwa kufanya mambo yake kwa kutegemea mitulinga.
CCM imekuwa inaongoza nchi hii Kwa zaidi ya miaka 33 sasa tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe hapa nchini.
Lakini Katika jambo ambalo CCM wameshindwa kabisa kulitafutia ufumbuzi ni suala la ajira (siyo kazi) na ujira Bora Kwa watanzania.
Miaka nenda miaka rudi kwa zaidi ya miongo mitatu sasa CCM haijui ifanye nini kuongeza ajira na kuweka uhakika wa ajira kwa watanzania huku ujira kwa watanzania wakiwa mzuri na wa uhakika.
Hali hii inatokana na CCM kuwaza kuwa ajira ni kazi na kuwa kila kazi ni ajira. Upotofu huu umefanya ajira kisiwe kipaumbele cha CCM.
Viongozi kadhaa utawasikia wakisema kuwa "kama maisha ya mjini yamekushinda rudi kijijini ukalime" yaani zama hizi kulima Kwa jembe la mkono inakuwaje ni chanzo cha ajira!?
Ukisikiliza jinsi CCM inavyowaona wamachinga, bodaboda au wapiga debe kuwa ni ajira rasmi, ndipo unapojua kuwa CCM inaona ajira ni kazi za kutoka jasho pekee!
CCM wekezeni kwenye matumizi ya akili ili kuongeza ajira kwa watanzania.
Huko Lumumba kutumia akili kujibu vinavyoandikwa JF mmepigwa marufuku?mara leo kudai hiki, kesho inakua saccos, mtondogoo kimegusa na kudandia lingine n.k hakutawafikisha popote zaidi ya kuwapotezea uelekeo,
Gentleman,Huko Lumumba kutumia akili kujibu vinavyoandikwa JF mmepigwa marufuku?
Hii hoja kwamba nimesema raia WOTE wanaweza kupata ajira umeitoa wapi? Kwenye bandiko langu Kuna mahali nimesema raia wote wanatakiwa waajiriwe?Kila
Hivi hata marekeni yenye zaidi ya marais 40 waliopita,nayo imeajiri raia wake wote?
Fanya siasa,tumia fursa,tafuta pesa,cheo au umaarufu.ila usidanganye watu kuwa chadema ikiingia madarakani itaajiri raia wote!
ayaa.., kwa hiyo hapo jukumu lako limetimia,hujaelewa mada au umekimbiza gori kimkakati kama ajila yako inavyotakaNi muhimu zaid kila chama cha siasa kikajizatiti kikamilifu kwenye misingi, itikadi, madhumuni na malengo ya kuanzishwa kwake.
kumbwelambwela kwa vyama vya siasa, kuyumba na kubabaika na agenda nonsense,
mara leo kudai hiki, kesho inakua saccos, mtondogoo kimegusa na kudandia lingine n.k hakutawafikisha popote zaidi ya kuwapotezea uelekeo,
huku wenye kusimamia malengo yao wakipeta bila mbambamba yoyote kuyatimiza na vyama vilivyo poteza uelekeo vikilalamika dhidi ya mafanikio ya chama kinachoimarika na kua kikubwa zaidi kimkakati 🐒
ni muhimu kujifunza taratibu bila mihemko,ayaa.., kwa hiyo hapo jukumu lako limetimia,hujaelewa mada au umekimbiza gori kimkakati kama ajila yako inavyotaka
Wewe Mtulinga tulia wenye akili wadadavueNi muhimu zaid kila chama cha siasa kikajizatiti kikamilifu kwenye misingi, itikadi, madhumuni na malengo ya kuanzishwa kwake.
kumbwelambwela kwa vyama vya siasa, kuyumba na kubabaika na agenda nonsense,
mara leo kudai hiki, kesho inakua saccos, mtondogoo kimegusa na kudandia lingine n.k hakutawafikisha popote zaidi ya kuwapotezea uelekeo,
huku wenye kusimamia malengo yao wakipeta bila mbambamba yoyote kuyatimiza na vyama vilivyo poteza uelekeo vikilalamika dhidi ya mafanikio ya chama kinachoimarika na kua kikubwa zaidi kimkakati 🐒
zingatia ukweli huo bila mihemko gentleman 🐒Wewe Mtulinga tulia wenye akili wadadavue
Nyimbo ya Joseph HauleWanasaikolojia husema binadamu (siyo mtu) dhaifu hujaribu kuficha udhaifu wake kwa kufanya mambo yake kwa kutegemea mitulinga.
CCM imekuwa inaongoza nchi hii Kwa zaidi ya miaka 33 sasa tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe hapa nchini.
Lakini Katika jambo ambalo CCM wameshindwa kabisa kulitafutia ufumbuzi ni suala la ajira (siyo kazi) na ujira Bora Kwa watanzania.
Miaka nenda miaka rudi kwa zaidi ya miongo mitatu sasa CCM haijui ifanye nini kuongeza ajira na kuweka uhakika wa ajira kwa watanzania huku ujira kwa watanzania ukiwa mzuri na wa uhakika.
Hali hii inatokana na CCM kuwaza kuwa ajira ni kazi na kuwa kila kazi ni ajira. Upotofu huu umefanya ajira kisiwe kipaumbele cha CCM.
Viongozi kadhaa utawasikia wakisema kuwa "kama maisha ya mjini yamekushinda rudi kijijini ukalime". Yaani zama hizi kweli kulima kwa jembe la mkono inakuwaje ni chanzo cha ajira!?
Ukisikiliza jinsi CCM inavyowaona wamachinga, bodaboda au wapiga debe kuwa ni ajira rasmi, ndipo unapojua kuwa CCM inaona ajira ni kazi za kutoka jasho pekee!
CCM wekezeni kwenye matumizi ya akili ili kuongeza ajira kwa watanzania.
Acha uchawa ndugu haukufikishi popoteKila shilingi ina pande mbili,siku moja ona hata jema moja la usiyempenda!
Mfano tu,hivi utitiri wa viwanda vinavyojengwa kila uchao havitoi ajira kumbe!
Hivi hata marekeni yenye zaidi ya marais 40 waliopita,nayo imeajiri raia wake wote?
Fanya siasa,tumia fursa,tafuta pesa,cheo au umaarufu.ila usidanganye watu kuwa chadema ikiingia madarakani itaajiri raia wote!
Wanasiasa wenyewe wamejiajiri kwenye siasa.siasa ni kazi.lisu na samia wote wako kazini kutatuta mkate na kupambania ndoto zao kupitia matarajio ya watu wengine.
Unabisha nini wewe Mtulinga?zingatia ukweli huo bila mihemko gentleman 🐒
relax tu gentleman 🐒Unabisha nini wewe Mtulinga?
Dunia inahama kutoka kwenye kutumia mitulinga kwenye kujenga uchumi badala yake teknolojia ndiyo kiini Cha mafanikio kwenye kukuza uchumi.Ni speaker gani utumie ili wakusikie, labda JBL lkn sijui. Labda tutafute zile speaker za Redio aina ya NATIONAL au MKULIMA za wakati ule huenda wanaweza kusikia.
Kama haya ndio mawazo yaliyojaa kwenye kichwa chako basi mtageuzwa geuzwa sana na wanasiasa.Acha uchawa ndugu haukufikishi popote