Hivi naachaje kumchagua Lissu na Chadema wakati ana Sera ya kumsomesha hata mwanangu ambaye nimemsomesha private???
Hivi naachaje kumchagua Lissu na Chadema ambae anarudisha makato ya mikopo ya bodi ya mikopo kutoka asilimia 15 ya magufuli hadi asilimia 6???
Hivi naachaje kumchagua Lissu na Chadema ambaye ametoa Sera ya kunijali mimi mlipa kodi na mfanyabiashara kwa kuniwekea mswada wa kunilinda mimi mlipa kodi ili TRA wasininyanyase????
Hivi naachaje kumchagua Tundu Lissu na Chadema ambaye hataniwekea mipaka kwenye masoko ya kuuza mazao yangu niliyoyalima kwa jasho kubwa????
Hivi naachaje kumchagua Tundu na Chadema Lissu mwenye Sera ya kurudisha katiba mpya ya warioba itakayoweka misingi ya utawala bora na kuondoa matumizi mabaya ya madaraka?