Mkuu tuwagonge sana hawa! Niko nagonga mbunge wa CCM vitu maalum sasa hivi anatafuta jimbo! Mikakati yote jinsi watakavyoshinda (ingawa maji yako shingoni) ananiambia!!Yani hiyo ndiyo raha yetu vijana wa pipossss... Tunawala na siri wanaleta kama kawaida!
Siri ya Kawe tunaijua sisi!
Sasa huyu Super Marioo David Kafulila ataishije akipigwa chini na Jesca?Naona halima bulembo na David Kafulila ndio wanatafutwa kuuangushiwa jumba bovu
Ana nusu heka ya michikichi huko muhambwe ataenda kujua namna ya kuishi bila ajiraSasa huyu Super Marioo David Kafulila ataishije akipigwa chini na Jesca?
Hivi naachaje kumchagua Lissu na Chadema wakati ana Sera ya kumsomesha hata mwanangu ambaye nimemsomesha private???
Hivi naachaje kumchagua Lissu na Chadema ambae anarudisha makato ya mikopo ya bodi ya mikopo kutoka asilimia 15 ya magufuli hadi asilimia 6???
Hivi naachaje kumchagua Lissu na Chadema ambaye ametoa Sera ya kunijali mimi mlipa kodi na mfanyabiashara kwa kuniwekea mswada wa kunilinda mimi mlipa kodi ili TRA wasininyanyase????
Hivi naachaje kumchagua Tundu Lissu na Chadema ambaye hataniwekea mipaka kwenye masoko ya kuuza mazao yangu niliyoyalima kwa jasho kubwa????
Hivi naachaje kumchagua Tundu na Chadema Lissu mwenye Sera ya kurudisha katiba mpya ya warioba itakayoweka misingi ya utawala bora na kuondoa matumizi mabaya ya madaraka?
Yani hiyo ndiyo raha yetu vijana wa pipossss... Tunawala na siri wanaleta kama kawaida!
Siri ya Kawe tunaijua sisi!
Chama cha mapinduzi kimetoa rai kupitia katibu mwenezi jimbo la Kawe kuwa wanachama wake wenye wenza kuondolewa katika mikakati ya ushindi baada ya kubainika kuwa miongoni mwao wanatoa siri za chama na hatimaye kumpa wakati mgumu mgombea wa jimbo hilo, Askofu Gwajima.
Naona sasa ubaguzi wa wazi wazi. Hata madhehebu ya dini hayaja fika huko.. Ccm kweli baba laoChama cha mapinduzi kimetoa rai kupitia katibu mwenezi jimbo la Kawe kuwa wanachama wake wenye wenza kuondolewa katika mikakati ya ushindi baada ya kubainika kuwa miongoni mwao wanatoa siri za chama na hatimaye kumpa wakati mgumu mgombea wa jimbo hilo, Askofu Gwajima.