johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katibu wa CCM wilaya ya Tabora mjini ndugu Mrema amemtaka mkuu wa wilaya hiyo mh Komanya kuacha mara moja tabia ya kuwavamia wajasiriamali akiwa na polisi na kuwataka wanunue vitambulisho kwa lazima.
Mrema amesema wamempa onyo DC Komanys kwa sababu kila wakimwita kwenye vikao anapiga chenga.
Naye DC Komanya amesema hajawahi kuitwa kwenye kikao chochote na kwamba Serikali na CCM ni kitu kimoja hivyo Katibu Mrema afuate taratibu za utendaji kazi.
Source EATV habari
Maendeleo hayana vyama!