Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Kuna mzee mmoja kada wa CCM nilifanya naye mazungumzo kidogo kuhusu chama chao.
Nikamuuliza swali: "Kwa nini mumekubali Kikwete agombee tena Urais mwaka huu wakati amevuruga nchi na haaminiki tena?"
Jibu: "Hata sisi tunajua kuwa Kikwete ni hovyo. Lakini utaratibu wetu(CCM) ni kila rais aongoze miaka 10."
Swali: "Atashinda?"
Jibu: "Lazima"
My Take:
Kumbe ndiyo sababu Kikwete amekuwa akiahidi mamia ya ahadi na hata kuwanadi mafisadi wenzake. Ana kinga ya chama (siyo ya Watanzania) kwamba hakuna mtu wa kumzuia kugombea.
Kama Mkwere atashinda, basi wanaomshabikia na tusio mshabikia WATAJUTA.