CCM ya Makala imepigwa pigo na CHADEMA

CCM ya Makala imepigwa pigo na CHADEMA

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Kusema ukweli, CCM ya Makala iko hoi.

Haina kabisa ubunifu, Imenunua magali mengi na kutengeneza misafara mirefu na foleni zisizo namaana lakini mitandaoni ni CHADEMA tupu.

Wana CCM wanahoji, kulikoni huko CCM iko kama hina uchaguzi?.

Kwani Makala hawezi achia ngazi ili chama kipone?. Aingia mtu mbunifu hapo. Makala anaongoza CCM kama naongoza serikali ya mtaa.
 
CCM ni chama cha kishamba sana

Screenshot_2024-09-12-15-13-25-78-1.png
 
Back
Top Bottom