mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
- Thread starter
-
- #21
Maskini hawafi Bali watainuka upya kwani ndio wanaoshiriki kuua kupitia kwa viongozi walafiMatajiri wakiishi kishetani masikini wamekufa kabisa, matajiri ndio wanaoinua uchumi wa nchi.
Hizo treni hazikuwa na uwezo wa kuhudumia nchi nzima usafiri, zilijengwa na mjerumani mwaka 1908 wakati huo Tanganyika ilikuwa na watu chini ya milioni 8, sasa ivi tuko milioni 54! Serikali ipige marufuku usafiri wa mabasi na malori ya mizigo hata wiki 1 tu uone shida itakayotokea, mijitu mingine hizi akili za kitaahira sijui mnatoaga wapi.
Laki si pesa kama jina lake alitumika nao sana alafu anatuita wajinga! Kama watu wanaongezeka ndio tiketi ya kuua yaliyokuwepo? Kweli Mkapa acha aombe msamaha maana dhambi alizotufanyia ni mbaya na tuliaminishwa ni MTU safi.Kwai wakata watu wanaongezeka kulishindikana nininkuziboresha hizo njia za treni? Hiyo yrni ya dar arusha imefunguliwa lakini piabinatakiwa ikarabatie ili kuongeza mwendo kutoka 35 hadi 80 kwa saa, ili watu wawahi kufika, na baadae wajenge sgr ya 200 kwa saa.
Nimekubali lakini kitendo cha Mkapa kuwapa Wahindi vichwa treni wakaenda wakatengeneza vichwa na mabehewa yasiyo na viwango yakawa yanadondoka kila yakipakia mzigo, watu walipata hasara wakarudi kwenye barabara ambazo pia zinamatatizo mengi. Kwanza Traffic vimeo wanapoteza muda sana kiasi kwamba kama una mzigo unaooza imekula kwako. Wawekezaji wa kizalendo hakuna budi kuwasaidia lakini kuwawezesha kusiendane na kuua sekta nyingine ambazo nazo zimeajiri watu wengi.Kazi kubwa ya serikali ni kwela mifumo mizuri ya biashara na kukusanya kodi. Serikali inalinda biashara za matajiri kwa kuwakopesha na kuwapa likizo ya malipo wakifikwa na majanga.
Richard Branson Mwingereza aliyejikita kwenye sekta ya biashara ya usafiri. Ana trains na ndege. Serikali yake inatambua umuhimu wake. Analipa kodi na ameajiri watu wanaolipa kodi na kuweza kuendesha maisha pasi kutegemea hand outs za serikali.
Hivi wale Wahindi walishindaje tenda? Tofauti ya viongozi wetu wa Afrika na Wazungu ni kuwa kabla Mzungu hajatia sahihi mkataba anaangalia maslahi ya nchi yake kwa miaka 100 ijayo yakoje kwenye mkataba ule. Hapo ndipo anaweza kutoa au kuchukua rushwa.Nimekubali lakini kitendo cha Mkapa kuwapa Wahindi vichwa treni wakaenda wakatengeneza vichwa na mabehewa yasiyo na viwango yakawa yanadondoka kila yakipakia mzigo, watu walipata hasara wakarudi kwenye barabara ambazo pia zinamatatizo mengi. Kwanza Traffic vimeo wanapoteza muda sana kiasi kwamba kama una mzigo unaooza imekula kwako. Wawekezaji wa kizalendo hakuna budi kuwasaidia lakini kuwawezesha kusiendane na kuua sekta nyingine ambazo nazo zimeajiri watu wengi.
Enzi za mkapa sio kwa wahindi tu hata wale waliotoka South Africa kuiendesha TANESCO walikuwa matapeli na wapiga dili. Walikuja na mikono mitupu wakarudi na mikwanja Hata ABSA hivyo hivyo waliuziwa benk kwa pesa zetu wenyewe NBC ikaondoka bure. Tulichelewa kuwajua hawa Makaburu na janja ya Mkapa wakatuumiza kwa uwekezaji feki.Hivi wale Wahindi walishindaje tenda? Tofauti ya viongozi wetu wa Afrika na Wazungu ni kuwa kabla Mzungu hajatia sahihi mkataba anaangalia maslahi ya nchi yake kwa miaka 100 ijayo yakoje kwenye mkataba ule. Hapo ndipo anaweza kutoa au kuchukua rushwa.
Sisi tunaangalia maslahi yetu ya leo. Nijenge nyumba na wanangu wapate degree za Ulaya na Marekani.
Nilichogundua ni kuwa umekosa exposure Ndo mana umeleta hii mada.Wana Jf,
Katika watu wanaoleta hisia mzito mpaka kufikia hatua ya kutoa machozi ni pale unapoona watu wakishangilia urejeshwaji wa usafiri wa Treni, ufufuaji wa njia nyingi za treni tena nyingine watu walijenga juu yake hata kufika mitalimbo ya chuma kuitumia kama nguzo.
walioshiriki kuua njia hizi ni hizi tawala za Mkapa na Jk, mfano. Mkoa wa Kagera, Katavi bei ya vitu kama sukari, cement , mabati nchi nzima ilikuwa sawa,lakini baada ya kumaliza kujenga barabara ya lami dar- mtukula hujuma mbali mbali zilianza, Mara waangushe treni za mizigo, Mara za abiria. Tulishuhudia watu wengi wakifa, njia hii ikawa sio ya uhakika tena.
jinsi Mkapa na JK walivyosababisha kufa kwa usafiri wa UMMA hilo hawawezi kulikwepa kwani baada ya kufa usafiri wa reli kulijitokeza makampuni mengi ya kusafirisha mafuta, vifaa vya ujenzi, chakula, kila kitu kilipanda mpaka watu walitamani kutumia bidhaa za nchi za jirani.
Haya maroli ndio yanayotesa barabara zetu mpaka Leo, barabara zimekuwa za marekebisho ya Mara kwa Mara huku tukitumia gharama kubwa ambazo zingeepukika.
Hili swala LA kusifia Ccm ya Magufuri kwa kurejesha usafiri wa reli ni LA kushangaza mno kwani waliohua reli hizi wapo. Ifike hatua waliotenda makosa ya makusudi nao washitakiwe angalau walipe gharama kwa makosa waliyoyatenda . Haiwezekani unaua NASaCO, UDA, KIUTA, NMC alafu unaachwa ili watakaofanya kazi ya kufufua ndio waonekane watendaji makini.
Yupo chama gani hiyo uliyemtaja?Hoja ni kwa nini walioliingiza Taifa hasara kama zilizoainishwa?Sifa kwa awamu zilizooita ingefaa tuone wahalifu wote washughulikiwe kwa usawa na haki bila kubagua itikadi.Mramba ndie aliyeuwa reli alianza na katakana ya tanga then tanga ikafa kiuchumi.
Maroli badonyanaharibu barabara kwa kuwa nchibyetu bado ni maskini , hatuwezi kujenga barabara nchi 12 za ujazo wa lami. Hivyo bado reli ni muhimu kwetu. Hizi za speed 35 zikikarabatiwa vizuri zinafika speed 70 aambazo roli LA mizigo halifikii. Tatizo we we ulikuwa sehemu ya wanaohujumu ndio maana yanakutoka ya ovyoooNilichogundua ni kuwa umekosa exposure Ndo mana umeleta hii mada.
Suala hapa ni kuhamasisha ujenzi wa barabara zenye ubora na miondombinu bora sio kuleta hadithi za malori yanaharibu barabara. Tembea uone hata kwenye nchi kubwa kama za ulaya na America utaona maroli yanavyosafirisha bidhaa.
Miundombinu ya reli hii inayokarabatiwa nayo haikidhi vigezo. Mradi pekee wa maana wa reli ni hii SGR sio huo uchafu wako.
Dogo serikali haifanyi biashara inaziwewezesha secta binafsi kufanya biashara kwa ufanisi, Kasome juu ya PPPWana Jf,
Katika watu wanaoleta hisia mzito mpaka kufikia hatua ya kutoa machozi ni pale unapoona watu wakishangilia urejeshwaji wa usafiri wa Treni, ufufuaji wa njia nyingi za treni tena nyingine watu walijenga juu yake hata kufika mitalimbo ya chuma kuitumia kama nguzo.
walioshiriki kuua njia hizi ni hizi tawala za Mkapa na Jk, mfano. Mkoa wa Kagera, Katavi bei ya vitu kama sukari, cement , mabati nchi nzima ilikuwa sawa,lakini baada ya kumaliza kujenga barabara ya lami dar- mtukula hujuma mbali mbali zilianza, Mara waangushe treni za mizigo, Mara za abiria. Tulishuhudia watu wengi wakifa, njia hii ikawa sio ya uhakika tena.
jinsi Mkapa na JK walivyosababisha kufa kwa usafiri wa UMMA hilo hawawezi kulikwepa kwani baada ya kufa usafiri wa reli kulijitokeza makampuni mengi ya kusafirisha mafuta, vifaa vya ujenzi, chakula, kila kitu kilipanda mpaka watu walitamani kutumia bidhaa za nchi za jirani.
Haya maroli ndio yanayotesa barabara zetu mpaka Leo, barabara zimekuwa za marekebisho ya Mara kwa Mara huku tukitumia gharama kubwa ambazo zingeepukika.
Hili swala LA kusifia Ccm ya Magufuri kwa kurejesha usafiri wa reli ni LA kushangaza mno kwani waliohua reli hizi wapo. Ifike hatua waliotenda makosa ya makusudi nao washitakiwe angalau walipe gharama kwa makosa waliyoyatenda . Haiwezekani unaua NASaCO, UDA, KIUTA, NMC alafu unaachwa ili watakaofanya kazi ya kufufua ndio waonekane watendaji makini.
Ndo ujue maccm wenzio hawana akili nzuriHizo treni hazikuwa na uwezo wa kuhudumia nchi nzima usafiri, zilijengwa na mjerumani mwaka 1908 wakati huo Tanganyika ilikuwa na watu chini ya milioni 8, sasa ivi tuko milioni 54! Serikali ipige marufuku usafiri wa mabasi na malori ya mizigo hata wiki 1 tu uone shida itakayotokea, mijitu mingine hizi akili za kitaahira sijui mnatoaga wapi.
Barabara ndo ilikuwa chini ya kiwangoMbona alishiriki vitu vingi wakataka kumpa sumu mpaka akawejewa ulinzi , Aliaahi kuzuia meli Fulani isipelekwe ziwa Victoria kupitia barabara zetu kwa kuwa mzigo huo weight kubwa ingeharibu barabara
Safi Umeanza kuelewa unuhimu wa secta binafsi kushikiana na serikali(PPP)Nimekubali lakini kitendo cha Mkapa kuwapa Wahindi vichwa treni wakaenda wakatengeneza vichwa na mabehewa yasiyo na viwango yakawa yanadondoka kila yakipakia mzigo, watu walipata hasara wakarudi kwenye barabara ambazo pia zinamatatizo mengi. Kwanza Traffic vimeo wanapoteza muda sana kiasi kwamba kama una mzigo unaooza imekula kwako. Wawekezaji wa kizalendo hakuna budi kuwasaidia lakini kuwawezesha kusiendane na kuua sekta nyingine ambazo nazo zimeajiri watu wengi.
Moja ya ujinga wa katiba yetu ni kuruhusu rais aliyestaafu kutoshitakiwa. Hicho kipengele kinatakiwa kufutwa haraka iwezekanavyo.Wana Jf,
Katika watu wanaoleta hisia mzito mpaka kufikia hatua ya kutoa machozi ni pale unapoona watu wakishangilia urejeshwaji wa usafiri wa Treni, ufufuaji wa njia nyingi za treni tena nyingine watu walijenga juu yake hata kufika mitalimbo ya chuma kuitumia kama nguzo.
walioshiriki kuua njia hizi ni hizi tawala za Mkapa na Jk, mfano. Mkoa wa Kagera, Katavi bei ya vitu kama sukari, cement , mabati nchi nzima ilikuwa sawa,lakini baada ya kumaliza kujenga barabara ya lami dar- mtukula hujuma mbali mbali zilianza, Mara waangushe treni za mizigo, Mara za abiria. Tulishuhudia watu wengi wakifa, njia hii ikawa sio ya uhakika tena.
jinsi Mkapa na JK walivyosababisha kufa kwa usafiri wa UMMA hilo hawawezi kulikwepa kwani baada ya kufa usafiri wa reli kulijitokeza makampuni mengi ya kusafirisha mafuta, vifaa vya ujenzi, chakula, kila kitu kilipanda mpaka watu walitamani kutumia bidhaa za nchi za jirani.
Haya maroli ndio yanayotesa barabara zetu mpaka Leo, barabara zimekuwa za marekebisho ya Mara kwa Mara huku tukitumia gharama kubwa ambazo zingeepukika.
Hili swala LA kusifia Ccm ya Magufuri kwa kurejesha usafiri wa reli ni LA kushangaza mno kwani waliohua reli hizi wapo. Ifike hatua waliotenda makosa ya makusudi nao washitakiwe angalau walipe gharama kwa makosa waliyoyatenda . Haiwezekani unaua NASaCO, UDA, KIUTA, NMC alafu unaachwa ili watakaofanya kazi ya kufufua ndio waonekane watendaji makini.
mrithi wa Magufuli ataweka mazingira wezeshi ya utajiri kwa wananchi, siyo kuwekeza kwenye lifeless objects kama sasa hivi.Wana Jf,

Barabara ndo ilikuwa chini ya kiwango
Magu alikuwa waziri wa barabara for 10 yrs lakini barabara zake zote mbovu.Ya Kenya ambayo mnajidanganya kuwa IPO juu ya kiwango mbona imeharibika vibaya kuanzia eldoret mpaka mpakani Uganda kuna matuta makubwa gari dogo linapata shida, alafu ndio mseme mjiringanishe na USA ambayo barabara zao zina kiwango cha lami na mawe nchi 15
Wao waliondoa kipengele makusudi kwani mpaka sasa wangelifungwa wote. Kuanzia aliyeanzisha ANNABEN akiwa Ikulu na Huyu wa Simba Trust, GSM na pesa ya ESCRow kuchotwa kwa masandarus mpaka Leo wachotaji hawajulikani.Moja ya ujinga wa katiba yetu ni kuruhusu rais aliyestaafu kutoshitakiwa. Hicho kipengele kinatakiwa kufutwa haraka iwezekanavyo.
Ili wale wote wanaoharibu nchi wakanyee debe Segerea.