Watajenga Hoja zipi?Kotekote hawana Majibu,Huu ndio mwanzo mwa anguko!Lazima tujifunze kusema ukweli, hata kama unauma. Ukweli unaweza kuumiza, lakini ndiyo unaosaidia kurekebisha mambo.
Kwa mtazamo wangu, CCM ya kipindi cha Rais Samia ni dhaifu kuliko ilivyokuwa awali.
CCM ya sasa imeibua watetezi ambao, kwa maoni yangu, wengi wao hawawezi kujenga hoja zenye mashiko. Badala ya hoja, wamebaki na propaganda ambazo sidhani kama zinaweza kufanya kazi katika karne hii ya 21.
Kwa mtazamo wangu, huwezi kulinganisha CCM ya kipindi cha Magufuli na CCM ya sasa. Ni tofauti kubwa.
Ninaamini CCM ya Magufuli ilijitahidi kutatua kero za wananchi kwa vitendo, kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma, kupunguza rushwa na kutekeleza miradi ya maendeleo. Hata watetezi wa CCM wa kipindi hicho walikuwa na uwezo wa kujenga hoja zenye mashiko.
CCM ya sasa imekuwa ikiwategemea watu kama Mwaipopo na Steve Nyerere, jambo ambalo, kwa maoni yangu, linaifanya ionekane dhaifu. Pia inaonekana kushindwa kujibu hoja za wanasiasa kama John Heche na hata kutegemea watu kama Yeriko Nyerere kujenga hoja mitandaoni.
Kuanzia JamiiForums hadi X, wengi wa watetezi wa CCM, kwa maoni yangu, hawawezi kujenga hoja zenye uzito na wamebaki kutumia propaganda za kawaida.
Kwa mtazamo wangu, hali hiyo imeifanya CCM ya sasa ionekane dhaifu, kiasi kwamba hata kwenye baadhi ya matukio ya hadhara imekuwa ikikumbana na kuzomewa.
shida wanatumia polisi na magenge kupoteza watu.Kama ni dhaifu
Utumieni huo udhaifu
kuiondosha
Ukiona udhaifu na ukashindwa kuutumia 🤔
Punguza sukari hakuna sehemu nimesema kuiondosha tuna udhaifu ambao wana CCM sisi hatujauzoea.Mimi mwana CCM nayetaka kuona CCM ikiwa strong sio hii wakina Mwaipopo niliwahi kukaa na Mwigulu mwaka 2023 katibu alikua chongolo nilizungumza kitu sasa hivi watakua wanaelewa CCM haitakiwi kutetewa na wakina Mwaipopo na Yeriko Nyerere watu wapumbavu N:B sio kila anaekosoa CCM anataka kuindosha madarakani hapana tunataka irudi kwenye misingi ya chamaKama ni dhaifu
Utumieni huo udhaifu
kuiondosha
Ukiona udhaifu na ukashindwa kuutumia 🤔
Aiseeshida wanatumia polisi na magenge kupoteza watu.
Hata uwe na akili nyingi kiasi gani ukipewa kazi ya kupindisha HAKI utaonekana kilaza tu!Lazima tujifunze kusema ukweli, hata kama unauma. Ukweli unaweza kuumiza, lakini ndiyo unaosaidia kurekebisha mambo.
Kwa mtazamo wangu, CCM ya kipindi cha Rais Samia ni dhaifu kuliko ilivyokuwa awali.
CCM ya sasa imeibua watetezi ambao, kwa maoni yangu, wengi wao hawawezi kujenga hoja zenye mashiko. Badala ya hoja, wamebaki na propaganda ambazo sidhani kama zinaweza kufanya kazi katika karne hii ya 21.
Kwa mtazamo wangu, huwezi kulinganisha CCM ya kipindi cha Magufuli na CCM ya sasa. Ni tofauti kubwa.
Ninaamini CCM ya Magufuli ilijitahidi kutatua kero za wananchi kwa vitendo, kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma, kupunguza rushwa na kutekeleza miradi ya maendeleo. Hata watetezi wa CCM wa kipindi hicho walikuwa na uwezo wa kujenga hoja zenye mashiko.
CCM ya sasa imekuwa ikiwategemea watu kama Mwaipopo na Steve Nyerere, jambo ambalo, kwa maoni yangu, linaifanya ionekane dhaifu. Pia inaonekana kushindwa kujibu hoja za wanasiasa kama John Heche na hata kutegemea watu kama Yeriko Nyerere kujenga hoja mitandaoni.
Kuanzia JamiiForums hadi X, wengi wa watetezi wa CCM, kwa maoni yangu, hawawezi kujenga hoja zenye uzito na wamebaki kutumia propaganda za kawaida.
Kwa mtazamo wangu, hali hiyo imeifanya CCM ya sasa ionekane dhaifu, kiasi kwamba hata kwenye baadhi ya matukio ya hadhara imekuwa ikikumbana na kuzomewa. N:B mimi ni mwana CCM kindaki ndaki lakini nachukia watu kama Mwaipopo kua sehemu ya CCM watu wajinga kama wale
Kati yangu na wewe nani anaonesha ana sukari?Punguza sukari
Kama hakuna nia ya kuiondosha basi mwisho wa bandiko lako ilifaa useme ni nini kifanyike ili iwe imara kama unavyodai ilikua mwanzohakuna sehemu nimesema kuiondosha tuna udhaifu ambao wana CCM sisi hatujauzoea.
Usiishie huku tu na kwenye vikao vya chama paza sauti una haki ya kutoa maoni yanayojengaMimi mwana CCM nayetaka kuona CCM ikiwa strong sio hii wakina Mwaipopo niliwahi kukaa na Mwigulu mwaka 2023 katibu alikua chongolo nilizungumza kitu sasa hivi watakua wanaelewa CCM haitakiwi kutetewa na wakina Mwaipopo na Yeriko Nyerere watu wapumbavu
Kila la kheri Mchumba🙏🙏N:B sio kila anaekosoa CCM anataka kuindosha madarakani hapana tunataka irudi kwenye misingi ya chama
Tatizo hakuna cha kutetea, unatetea vipi ufisadi, utekaji, ufiraji,utesaji, mauaji.Lazima tujifunze kusema ukweli, hata kama unauma. Ukweli unaweza kuumiza, lakini ndiyo unaosaidia kurekebisha mambo.
Kwa mtazamo wangu, CCM ya kipindi cha Rais Samia ni dhaifu kuliko ilivyokuwa awali.
CCM ya sasa imeibua watetezi ambao, kwa maoni yangu, wengi wao hawawezi kujenga hoja zenye mashiko. Badala ya hoja, wamebaki na propaganda ambazo sidhani kama zinaweza kufanya kazi katika karne hii ya 21.
Kwa mtazamo wangu, huwezi kulinganisha CCM ya kipindi cha Magufuli na CCM ya sasa. Ni tofauti kubwa.
Ninaamini CCM ya Magufuli ilijitahidi kutatua kero za wananchi kwa vitendo, kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma, kupunguza rushwa na kutekeleza miradi ya maendeleo. Hata watetezi wa CCM wa kipindi hicho walikuwa na uwezo wa kujenga hoja zenye mashiko.
CCM ya sasa imekuwa ikiwategemea watu kama Mwaipopo na Steve Nyerere, jambo ambalo, kwa maoni yangu, linaifanya ionekane dhaifu. Pia inaonekana kushindwa kujibu hoja za wanasiasa kama John Heche na hata kutegemea watu kama Yeriko Nyerere kujenga hoja mitandaoni.
Kuanzia JamiiForums hadi X, wengi wa watetezi wa CCM, kwa maoni yangu, hawawezi kujenga hoja zenye uzito na wamebaki kutumia propaganda za kawaida.
Kwa mtazamo wangu, hali hiyo imeifanya CCM ya sasa ionekane dhaifu, kiasi kwamba hata kwenye baadhi ya matukio ya hadhara imekuwa ikikumbana na kuzomewa. N:B mimi ni mwana CCM kindaki ndaki lakini nachukia watu kama Mwaipopo kua sehemu ya CCM watu wajinga kama wale
Kujenga hoja kutetea upuuzi unaofanywa na ccm, hata angeletwa bingwa wa kujenga hoja duniani naye angeonekana akili yake ni sawa na hao kina mwaipopo.Kuanzia JamiiForums hadi X, wengi wa watetezi wa CCM, kwa maoni yangu, hawawezi kujenga hoja zenye uzito na wamebaki kutumia propaganda za kawaida.
Mkuu tatizo sio hakuna watu wa kujenga hoja, tatizo ni hata hizo Hoja kwasasa sisiemu hawana.Ninaamini CCM ya Magufuli ilijitahidi kutatua kero za wananchi kwa vitendo, kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma, kupunguza rushwa na kutekeleza miradi ya maendeleo. Hata watetezi wa CCM wa kipindi hicho walikuwa na uwezo wa kujenga hoja zenye mashiko.
Ni aibu sanaTanganyika haina mwakilishi kwenye ngazi zote za juu nchini kwasasa.
Tanganyika haina mzalendo wa kupigania haki, maslahi ya Tanganyika.
Wassira, Mwigulu na mawaziri wote wamekubali vyeo, pesa, umaarufu kusimamia maslahi ya Samia, Kikwete, Rostam, Zanzibar na genge lao kwa gharama za Tanganyika.