CCM ya Samia Suluhu Hassan ni dhaifu huo ndio ukweli. Chukieni lakini huo ndo ukweli

CCM Ilitakiwa ianguke mwaka 2015 ila wakashikilia bomba
Mbowe akapindua meza kumleta lowasa fisadi mambo yakaharibika

Akaja magu angalau alijua kula na vipofu huku na huku akakata moto
Ingawa alijahidi kuwa karibu na wananchi wake walimpenda ivo ivyo
Akaja bi chura kwa mbwembwe na vijembe ataifungua nchi..na bla bla kibao..
29oct akauwa wananchi wake mamia mpaka sasa DAMU ZINAMLILIA.
 
Laana ipo kazini.
 
Tuliza komwe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uko
Sawa
Kabisa
 
Ni hatari
 
Ingekuwa dhaifu basi mngechukua nchi okt 29 katika Yale mapinduzi yenu haramu
 
Ingekuwa dhaifu basi mngechukua nchi okt 29 katika Yale mapinduzi yenu haramu
Mimi mwana CCM tokea lini CCM ikafanya mauaji kama Yale tangia Tanganyika mpaka Tanzania ni aibu sana kwa CCM sasa wewe unajisifu kuingia madarakani kupitia vyombo vya dola na kukosa uhalali wa kisiasa
 
Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, hajaongia madarakani kwa jeshi; ameingia kwa kura halali zilizopigwa na wazalendo wa taifa hili tarehe 29/10. Karibu nyumbu.
 
Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, hajaongia madarakani kwa jeshi; ameingia kwa kura halali zilizopigwa na wazalendo wa taifa hili tarehe 29/10. Karibu nyumbu.
Hii I’d ya Samia Ila nakuaidi tunza hii comment CCM hiki chama tunaenda kukisuka upya na kufukuza wezi na mafisadi waliojificha kwenye mgongo wa chadema
 
Huwezi kutumia watu wajinga wakutetee ufanikiwe πŸ˜€
 
Huijui CCM dogo kama wengine kama wewe. Na ujinga na udhaifu wa kujifanya mnaijua CCM ndio kunaifanya CCM indelee kushinda jana, leo, kesho na keshokutwa!
 
Hadi kufikia hatua ya kumkodi Mwaipopo na wavuta bangi wenzake kuisaidia kweli CCM hii imechoka na imechokwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…