Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Ndugu zang ccm imepoteza mvuto tangu CHAMA hiki kilipovamiwa na wanfanya biashara wakubwa miaka ya 1990s, kinyume na malengo ya kuasisiwa kwake, si CHAMA CHA wafanya kazi na wakulima, ni CHAMA CHA wafanyabiashara, waliamua kuingia huko I'li kujificha juu ya uovu wao. Hivyo basi ccm ya leo sio ccm ya 1970.
Makonda alipokuwa mwenezi, "aliwaisema kuwa watu wapo ccm sio kwa sabb wanakipenda CHAMA bali wapo I'li kulinda biashara zao" lakini pia Balozi Humphrey Polepole aliwai sema kuwa ndani ya ccm kuna kikundi cha wahuni, maana yake hao si wanaccm bali wapo ccm kwa ajili ya kutimiza azima (zao masilai ya biashara).
Kundi hilo ndilo limeimeza CCM. Hao ndio wanapanga nani awe kiongozi wa CHAMA, nani awe kiongozi wa serikali ,je umewai jiuliza kwanini wafanyabiashara wakubwa wote wapo CCM?
Karibuni kwa mjadala