Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii hofu yenu imepitiliza. Na hofu hii ni mpango mkakati iwaingie mpaka mifupani. Yaani mtu asiende kula mtaani kisa....anaenda kula kwa atakaowawakilisha...View attachment 1483602
Kitendo cha viongozi wake kuzunguka mitaani bila jambo lolote la Msingi huku wakizongwa na wafuasi waliobeba bendera za chama chao kimetafsiriwa kama ni ishara ya kuanza kampeni kabla ya muda .
Hii ni kinyume kabisa cha sheria za uchaguzi ambapo kampeni zinapaswa kufanyika katika muda uliowekwa na tume huku vyama vyote vikishiriki .
yetu machoFoolish season imeanza na kilele chake ni Oktoba 25 mwaka huu!!
View attachment 1483602
Kitendo cha viongozi wake kuzunguka mitaani bila jambo lolote la Msingi huku wakizongwa na wafuasi waliobeba bendera za chama chao kimetafsiriwa kama ni ishara ya kuanza kampeni kabla ya muda .
Hii ni kinyume kabisa cha sheria za uchaguzi ambapo kampeni zinapaswa kufanyika katika muda uliowekwa na tume huku vyama vyote vikishiriki .
View attachment 1483608
Raha ya dera uwe na tako