Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Haya mambo ya watu kulamba matapishi, niliwahi kuyauliza humu! Swali Kuhusu Kulamba Matapishi: Kwanini Iwe ni Kinyaa Wakati Matapishi ni Chakula Kile Kile?!.Wasalaam, tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani naona viongozi wa CCM na WABUNGE wake wameanza kulamba chakula walichokula wakavibiwa Kisha kukitabika.
Wasalaam, tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani naona viongozi wa CCM na WABUNGE wake wameanza kulamba chakula walichokula wakavibiwa Kisha kukitabika.
WABUNGE na viongozi wa CCM WALIPITISHA KIKOKOTOO katili dhidi ya watumishi wa umma huku wao wakichukua asilimia Mia ya mafao yao na kufurahia maisha.
Leo hii inashangaza WABUNGE walewale na viongozi walewale wa CCM wanawaona wadanganyika ni mazombi wanapiga kelele eti KIKOKOTOO kinaumiza watumishi wa umma km sio utapeli wa kisiasa ni Nini? Na wanafanya hivi ili waonewe huruma kwenye sanduku la KURA na hao hao watumishi wa umma, Hii ndo Tanganyika bwana bado ahadi za mei mosi
CC Lucas Mwashambwa na Janeth Thomson MwambijeWasalaam, tunapoelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani naona viongozi wa CCM na WABUNGE wake wameanza kulamba chakula walichokula wakavibiwa Kisha kukitabika.