mbona utaki kumuelewa mwenzio? Kwani wakatoliki sio wakristo? Sasa mbona unasema utatu mtakatifu si wa wakatoliki? Kama ni wa wakristo basi na wakatoliki wamo ila vicent augustino kainsist on wakatoliki, Utingo upo hapo,au umeshuka?
Na kama wakiendelea na ubishi wao wa ku-mix u-CCM na dini watapata shida sana kuishi katika mkoa ulio ktk himaya ya RC kama Rukwa.
Maana shule karibia zote ni zao, dispensari, na hospitali nzuri zote ni zao, hata baa na vijiwe vya Chimpumu vinamilikiwa na waumini wa RC...ooh! nimesahau kuwa hata mkulu Pengo nae anatoka hukohuko...
Nawashauri jamaa waende tu wakatubu ili wasiendelee kutengwa...
Tunakokwenda hakufai, waamini tukitenda dhambi tugome kutubu? Something must be wrong somewhere!
Source ni gazeti gani? isije kuwa uhuru, habari leo, mtanzania toiletpapers
Message sent guyzToilet papers may be wealthier