CCM yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Sekretarieti ya Taifa Chongolo Katibu Mkuu Sophia Mjema Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi akichukua mikoba ya Shaka

Acha kujifanya mjuaji... kwa taarifa yako kuna wachaga ni CCM kindaki ndaki... hii kusema wachaga ni wapinzani ni porojo za hovyo sana..

Kuna watu babu zetu walizikwa na bendera za CCM.. na walikuwa CCM pure... acha kuleta ujuaji
Labda Intelligence officer Lyatonga Mrema

Mrema pekee was trusted source of at least information

Trusted watu Tanzania ni wahehe, Wangoni,

Na Hawa wanaaninika kutokana na vita walivyopigana

Ikulu kunahitaji watendaji wahehe na Wangoni kwani ni waaminifu

Wachaga ikulu, Fukuza nuksiiiiii

Kuwa na mchaga ccm ni balaa a na mikosiiiiii iiiii

Wachaga wanaume walishaacha kuo a Dada zao

Wewe nani?
 
Kibarua Cha Shaka, kimeota nyasi

Hahaaaaaa...........😀😅
 

Mbona imekuma sana wewe
 
Mjema nae ni mpare. Hakuna msukuma hata mmoja pale juu. Wasukuma wameachiwa ujumbe wa NEC tu. Zamu ya kaskazini, pwani na Zanzibar Sasa. Kanda ya ziwa, kati na nyanda za juu watulie kidogo
 
We nawe acha upuuzi
 
Hii ni hatari waislamu watupu Mungu tunusuru Baba sijui Wana ajenda gani?au ndio ule mkakati wa kuirudisha nchi uislamuni Kwa madai kwamba ilikuwa ya kiislam Nyerere akaifanya ya kikristo☺️hawa wala pweza shida sana
 
Wale wajumbe wote wa nek wa kanda ya ziwa atawamudu bila hao wa kaskazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…