CCM yaipa pole Msumbiji kwa kukumbwa na mafuriko

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
​
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid akiwa na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania, Ricardo Ambrosio Mtumbuida alipofika kuwasilisha salamu za pole katika Ofisi za Ubalozi wa Msumbiji jijini Dar es Salaam leo 22 Januari 2026, kufuatia maafuriko yaliyoikumba nchi hiyo na kusababisha takriban watu 600,000 kupoteza makazi.

​
 
Msumbiji ni taifa ambalo linapata tabu sana kwenye mafuriko na vimbunga vikali, sijui kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…