Tetesi: CCM yajipanga kumvua uanachama Humphrey Polepole

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa, ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.

Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
 
Too late, msg tayali imepenya hata wakimvua uanachama hiyo nisawa na maji yakwisha mwagika
Lkn amefanya kosa gani si ndio ukweli wenyewe?
Wewe mtu unatoka nyumbani asubuhi ukachukue fomu ghafla unakutana na kibinyio getini kwako, usifanye masiala na kibinyio
Polepole kazi yako umeitendea haki, wasilimie huko Cuba
 
Wamvue hata Shati lakini nyeti zao Ziko nje na wengi wanafuata.
 
Ni Bora kuliko kuwa na mtu asiye mtii na mnafiki.

Hata hivyo alikuwaga mwanaharakati,Jiwe ndio alimleta Kwa maslahi yao.
 
Hii haina come back amepiga counter attack kama PSG ukija kibwege unakula kono la nyani


No reform No Election
 
Sjui mama anajisikiaje kwa hili shambulio
 
Hilo kombora alilorusha Slowslow ni kama lile kombora walilorusha Iran siku ile ya mwisho ya 12 days war limekaa kama dildo (linakuja kama mzahamzaha kwa zigzag halafu wala halikosei target) hadi Israel wakaomba ceasefire.

Kombora hili la leo limetua direct usoni kwa bi kizim. Kwa ubishi wa Kizim kashakuwa sugu kama farao yeye wala haombi ceasefire
 
Hahaha na Hamolapa wasimsahau. Kujadili rufaa yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…