Elections 2010 CCM yakiri kupoteza viti 51

Sio migogoro ya kura za maoni. Tumewachokaaaaaaa. Na tusidanganyane na hiyo 78...%. CCM inataka kutuandaa kwa ushindi mkubwa uliotokana na uchakachuaji.
 
CCM Imenyea debe...hadi Al Sahaf (msemaji wa Sadaam) anaanza kukiri?

Hii inatukumbusha thread yangu ya jana alipoanza kukiri akihojiwa na Redio Sauti Ya Ujerumani...post ipo chini..


Bado Makambaa.....
 
Kudadadeki na bado vingine zaidi ya 100, mwaka huu ni Bunge la wenye akili. sasa wameanza kuisoma kimoyomoyo maumivu makaliiiii kama kukata mfupa bila ganzi. Tunafanya makamuziii ile mbaya. Mwaka huu ndio wa mwisho kwa wabunge wa sisiemu mwka 2015 wataambulia zero. yaani sifuri.
 
Chama kinapoteza jimbo pale inapokuwa inashikilia hilo jimbo. Huwezi kusema kuwa CCM imepoteza majimbo yote ya Pemba wakati hayo majimbo yamekuwa chini ya CUF tokea siasa za vyama vingi kurudishwa baada ya kupigwa marufuku na Nyerere. Majimbo ambayo yalikuwa chini ya CCM na kwenda upinzani hayazidi 20.
 
Kinana ni muhuni tena tunashangaa huyu msomali> Si mtanzani subiri nguvu ya wananchi lazima ikongoe :israel:
 

Wewe Kudadeki akili yako haifanyi kazi vizuri, ati unasema majimbo CCM yaliyopoteza hayazidi 20? ARE YOU MAD OR WHAT?
 
Wewe Kudadeki akili yako haifanyi kazi vizuri, ati unasema majimbo CCM yaliyopoteza hayazidi 20? ARE YOU MAD OR WHAT?

Wewe ungekuwa una akili inayofanya kazi vizuri (full of doubt), basi kwanza ungekubali ama ungekataa hiyo tafsiriya "kupoteza majimbo". Lakini hujakataa wala kukubali. Sasa homework kwako, tupe orodha ya majimbo ambayo yalikuwa chini ya CCM bunge lililopita na sasa yamechukuliwa na wapinzani. Please stick with maelezo yangu ya "kupoteza majimbo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…