Elections 2010 CCM yalala Karatu

Elections 2010 CCM yalala Karatu

megablast

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
7
Reaction score
0
Habari toka kwa independent observer huko Karatu zinasema CHADEMA imechukua jimbo
 
Habari toka kwa independent observer huko Karatu zinasema CHADEMA imechukua jimbo

Hizi taarifa zisizo rasmi zinatuchosha maana kila mtu anapost anavyotaka tu mpaka watu hapa hatuelewi hasa kinachoendelea
 
Ukweli ni kwamba Karatu mpaka sasa hawajatangaza kutokana na kigugumizi cha kawaida cha CCM kwa jimbo hilo. Hivyo, tuweke pembeni uvumi na ushabiri kwani hautusaidi. Aliye na usahihi wa mambo alete figures siyo insha.
 
Hizi taarifa zisizo rasmi zinatuchosha maana kila mtu anapost anavyotaka tu mpaka watu hapa hatuelewi hasa kinachoendelea

Na kweli maana leo hali haieleweki kila mtu anakuja na lake.
 
Habari toka kwa independent observer huko Karatu zinasema CHADEMA imechukua jimbo
funga mdomo, unless utoe chanzo cha habari yako...! Mimi nipo Karatu sasa, na nimetokea Ngorongoro leo...! Na ninavyojua mimi CCM, particularly kwa upande wa raisi ni mbaya sana...! Japo siwezi kurasimisha bila takwimu au chanzo chenye kuweza kuaminika....!
 
Hawa wanaojiunga leo JF na kutoa post ambazo hazina idadi ya kura wanakera sana
 
Back
Top Bottom