PreGE2025 CCM yamchangia fedha za matibabu BAWACHA Siglada aliyepigwa na mlinzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwanini wasimpeleke INDIA??? 🤣🤣🤣😅🤣😅🤣 Maigizo, Futuhi, ni cheap political mileage intafutwa 🤣🤣🤣
 
kwamba mchango utamfikia sagrada thubutu labda yesu ashuke ccm washampigia deal huyo mwehu
 
Cheap n petty politics.. Kumbe makala ni wa hovyo kiasi hiki
 
Cdm wasijibu hizo kiki, hizo mbinu watawapata wajinga walioko huko huko ccm. Watu wametekwa na vyombo vya dola na kupotezwa wengi, hakuna mwanaccm aliwahi kujitokeza kuonyesha wema huu wa bandia.
Ni upumbavu wa kiwango cha Rami, kuna watu wengi wameumuzwa hawajawahi kuwachangia au hata pole tu ,leo hii wawe na huruma ?imetoka wapi? huyo atakuwa ni mtu wao
 
kazi na utu Tunsonge mbele pamoja 💪👊
 
Mambo yao wenyewe wanajuana,lakini kuna haja ya kuelimishana namna ya kupunguza munkhali.
Mfumo dume unawanyemelea.
 
Huyu jamaa unaweza sema akili yake haipo sawa ila ukikumbuka CCM kuna ajira mpya ya UCHAWA basi unaishia kukaa kimya tu.

All in all awe na kiasi huku akikumbuka kuwa uongozi ni dhamana tu.
 
Sasa wewe unamuitaje huyu wakati ni mwenezi Taifa BAWACHA..hiyo nafasi amejiweka yeye..? Wewe ukitaka kupewa pf3 utakosa..? Hiyo anaweza kupewa mtu yeyote haiwez kuwa evidence ya mtu kupigwa.
Huelewi unaongea nini linapokuja swala la pf3 kwa mtu anaedai amepigwa na kwenda hosp kupewa matibabu, uyu inambidi kuamia ccm maana igizo alilopewa la kuongopa kama ccm ameshindwa
 

View: https://x.com/swahilidigital_/status/1906104673334857946?t=3CG9sD1jJJASbQHgIUJAWA&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…