Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Huyu ni Dr wa binadamu kutoka Hosp za serikali ni mama mcha mungu mtaalamu wa masuala ya wanawake kapambana na Marehemu Nditiye kufa kupona wakati wa kampeni , Alikuwa Mbunge mteule na alimfanyia kampeni Marehemu Magufuri pia ila jina halikurudi bahati mbaya now naona Mungu kamuona Big Up tuko nyuma yako wana Muhambwe tunakutegemea mama yetu πππππππππWasifu wake tafadhari mletauziπππ
Unauliza wasifu wake? CCM haifuati wasifu wa Mtu kumteua kuwa mgombea, ama sivyo wakina Kibajaj, Msukuma, Jah Pipo na Babu Tale wasingekuwa mjengoni!!!Wasifu wake tafadhari mletauziπππ
Hii sifa ya ucha Mungu kwenye siasa imekaa kaaje?? Tumeshudia wanasiasa pamoja na kuapa kwa kushika vitabu vitakatifu bado wamevunja viapo na kutenda madhambi mengi sana, na wengine kufikia hata kutamka uwongo kwenye nyumba za ibada.Huyu ni Dr wa binadamu kutoka Hosp za serikali ni mama mcha mungu mtaalamu wa masuala ya wanawake kapambana na Marehemu Nditiye kufa kupona wakati wa kampeni , Alikuwa Mbunge mteule na alimfanyia kampeni Marehemu Magufuri pia ila jina halikurudi bahati mbaya now naona Mungu kamuona Big Up tuko nyuma yako wana Muhambwe tunakutegemea mama yetu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120]
Si abaki uko uko hospital nchi ina uhaba wa madaktari bingwa lakini haina uhaba w a wanasiasa jamani mbona mnamaudhi hivi. AagghHuyu ni Dr wa binadamu kutoka Hosp za serikali ni mama mcha mungu mtaalamu wa masuala ya wanawake kapambana na Marehemu Nditiye kufa kupona wakati wa kampeni , Alikuwa Mbunge mteule na alimfanyia kampeni Marehemu Magufuri pia ila jina halikurudi bahati mbaya now naona Mungu kamuona Big Up tuko nyuma yako wana Muhambwe tunakutegemea mama yetu πππππππππ
CCM imemteua Dkt. Florence George Samizi kugombea Ubunge Jimbo la Muhambwe lililopo kibondo Mkoani Kigoma, baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo.
Wana-CCM 25 walijitokeza kuomba idhini ya kugombea katika Jimbo hilo ambalo linatarajia kufanya uchaguzi mdogo Mwezi Mei, baada ya kampeni kufanyika kuanzia Aprili 4 hadi Mei 1.
Sawa,pamoja na majibu mazuri ya mhe.Waziri,nina swali dogo la nyongeza,Huyu ni Dr wa binadamu kutoka Hosp za serikali ni mama mcha mungu mtaalamu wa masuala ya wanawake kapambana na Marehemu Nditiye kufa kupona wakati wa kampeni , Alikuwa Mbunge mteule na alimfanyia kampeni Marehemu Magufuri pia ila jina halikurudi bahati mbaya now naona Mungu kamuona Big Up tuko nyuma yako wana Muhambwe tunakutegemea mama yetu πππππππππ
Cdm ndoyo wanaofuata wasifu ndiyo maana wamefanikiwa kila nyanjaUnauliza wasifu wake? CCM haifuati wasifu wa Mtu kumteua kuwa mgombea, ama sivyo wakina Kibajaj, Msukuma, Jah Pipo na Babu Tale wasingekuwa mjengoni!!!
Bwana JAMAL TAMIM amekuwa akijitahidi sana katika shughuli za maendeleo na wanaMUHAMBWE wanalijua hilo, na amekuwa mvumilivu sana japo kuna genge la baadhi ya viongozi linaloonesha kumpiga vita,CCM imemteua Dkt. Florence George Samizi kugombea Ubunge Jimbo la Muhambwe lililopo kibondo Mkoani Kigoma, baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo.
Wana-CCM 25 walijitokeza kuomba idhini ya kugombea katika Jimbo hilo ambalo linatarajia kufanya uchaguzi mdogo Mwezi Mei, baada ya kampeni kufanyika kuanzia Aprili 4 hadi Mei 1.
Tuongeze pia akina, sugu, lema mchungaji msigwa, na akina Joseph hauleUnauliza wasifu wake? CCM haifuati wasifu wa Mtu kumteua kuwa mgombea, ama sivyo wakina Kibajaj, Msukuma, Jah Pipo na Babu Tale wasingekuwa mjengoni!!!
Aisee...Dk.juzijuzi tu pale Kibondo ilikuwa mida ya asubuhi wakiwa wanajiaandaa na Kura za maoni ,tulikuwa na jamaa zangu alitusalimia kwa ucheshi sana mpaka tukashangaa kumbe alikuwa kwenye kampeni.Kila kheer Dk.CCM imemteua Dkt. Florence George Samizi kugombea Ubunge Jimbo la Muhambwe lililopo kibondo Mkoani Kigoma, baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo.
Wana-CCM 25 walijitokeza kuomba idhini ya kugombea katika Jimbo hilo ambalo linatarajia kufanya uchaguzi mdogo Mwezi Mei, baada ya kampeni kufanyika kuanzia Aprili 4 hadi Mei 1.
Hii nchi bila unafki mambo hayaendi mkuu[emoji3]Hii sifa ya ucha Mungu kwenye siasa imekaa kaaje?? Tumeshudia wanasiasa pamoja na kuapa kwa kushika vitabu vitakatifu bado wamevunja viapo na kutenda madhambi mengi sana, na wengine kufikia hata kutamka uwongo kwenye nyumba za ibada.
Dinatali unateseka Sana, lakin wajumbe wamefanya uhambweBwana JAMAL TAMIM amekuwa akijitahidi sana katika shughuli za maendeleo na wanaMUHAMBWE wanalijua hilo, na amekuwa mvumilivu sana japo kuna genge la baadhi ya viongozi linaloonesha kumpiga vita,
karibu kila mara amekuwa akiongoza kwenye kura za maoni ( kasoro mwaka jana ambako waliopiga kura walikuwa wajumbe wachache tu tofauti na miaka yote ambapo waliokuwa wakipiga kura ni wanachama wa CCM).
Wananchi wamekuwa wakimpenda na kumsikiliza sana hata mwaka 2015 wakati jina lake lilipokatwa kidogo kutokee vurugu, ikabidi awaombe wananchi kuwa watulivu na wavumilivu na akamuunga mkono MAREHEMU NDITIYE na kumsaidia!
Na hata HAYATI JOHN POMBE MAGUFULI mwaka jana alimuambia BWANA JAMAL TAMIMU awe mvumilivu na kweli alisaidia kumpigia kampeni sana MAREHEMU NDITIYE na wala hakuonesha kukasirika,
Sasa mbunge NDITIYE kafariki, uchaguzi umefanywa na bwana JAMAL TAMIM aliombwa avumilie na MAREHEMU JOHN POMBE MAGUFULI,
sasa uchaguzi wa chama umefanyika na bwana JAMAL TAMIMU kashinda, kwa nini wanakata jina lake!? hawaoni watawawapa nafasi kina zitto aende kugombea MUHAMBWE na tupoteze jimbo!
View attachment 1739159
Hao uliowataja wana wasifu! Na wewe pia una wasifu wako, japokuwa hukwenda shule!Unauliza wasifu wake? CCM haifuati wasifu wa Mtu kumteua kuwa mgombea, ama sivyo wakina Kibajaj, Msukuma, Jah Pipo na Babu Tale wasingekuwa mjengoni!!!