Elections 2010 Ccm yapaisha vitu bei juu-inatisha sana

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Wakuu kama ilivyokua 2005,mwaka huu zikiwa zimebaki siku 3 vitu vimeanza kupanda bei hapa Dar,Pentrol imeadimka,Sembe bei juu 1000 kwa kilo,Mtindi wa Tanga Freshi kutoka 700 hadi 1000,mafuta ya kula yapanda gafla,sabunu zapanda,juice za box zapanda bei pia,nafaka na kunde vyapanda kidogo pia.Nadhani baada ya uchaguzi CCM IKISHINDA TU VITAPANDA ZAIDI KAMA ILIVYOKUA 2005.kAZI KWETU TUMCHAGUE sLAA
 
Nilidhani wameanza kufuata sera za chadema maana walianza kuzungumzia kushusha bei ya cement na nondo:bowl:
 
duh petrol ndio imepanda kwa kutisha...tena ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…