CCM wanajipanga kuwanasa vijana na kuwarudishia iman iliyopotea. Wanajisafisha na kuendelea kujipanga. SWALI, "VIJANA GANI WANAKAMATWA"? Ambao wana haja ya kuendelea kufanywa watoto?. Days are numbered, hata wafanye nini, hakuna imani tena. Ukifa umekufa, huwezi kufa mara mbili. RIP CCM.
Namfahamu kijana mmoja alikuwa na nyodo na mapenzi sana ktk CCM - mara kaongoza ufunguzi wa kijiwe (shina la wakereketwa), mara kaacha shule ili asimamie mambo ya CCM (uwakala wa chama ktk uchaguzi) etc. Cha moto alikiona matokeo ya kidato cha nne yalipotoka (div 0). Baada ya tukio hilo akawa mdogo kama kidonge cha usingizi.
Vijana wengi wanaounga mkono CCM hawajitambui, wanahitaji ukombozi wa kifikra.