๐ ๐ ๐ ๐ ๐Mkutano huo mkubwa pia ulihudhuria na RPC wa Rukwa aliyekuwa amejificha ndani ya gari yake iliyokuwa imeegeshwa kwenye miti pembeni mwa uwanja wa mkutano.
RPC anakubali kimya kimyaLeo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election.
Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili yasikodishwe na Chadema kwa ajili ya kutangaza na kuhamasisha wananchi kuhudhuria mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga.
Lakini katika hali iliyowaacha midomo wazi viongozi wa CCM ni mafuriko makubwa ya watu waliohudhuria mkutano huo pamoja na hujuma kubwa ya kuandaa Bonanza katika uwanja wa Mandela na tamasha la ngoma katika kiwanja cha Sabato.
Mkutano huo mkubwa pia ulihudhuria na RPC wa Rukwa aliyekuwa amejificha ndani ya gari yake iliyokuwa imeegeshwa kwenye miti pembeni mwa uwanja wa mkutano.
Katumwa na Mama akasikilize.RPC anakubali kimya kimya
Mkuu RPC huna haja ya kujificha, labda kama ulikuwa unajificha kwa aibuLeo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election.
Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili yasikodishwe na Chadema kwa ajili ya kutangaza na kuhamasisha wananchi kuhudhuria mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga.
Lakini katika hali iliyowaacha midomo wazi viongozi wa CCM ni mafuriko makubwa ya watu waliohudhuria mkutano huo pamoja na hujuma kubwa ya kuandaa Bonanza katika uwanja wa Mandela na tamasha la ngoma katika kiwanja cha Sabato.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mkutano huo mkubwa pia ulihudhuria na RPC wa Rukwa aliyekuwa amejificha ndani ya gari yake iliyokuwa imeegeshwa kwenye miti pembeni mwa uwanja wa mkutano.
Sasa kinachokuliza nini?Hii habari hata mtoto wa chekechea anajua kuwa IMETOLEWA na nyumbu aliyeishiwa au kukaukiwa hata na common sense
Huyu sawa na Zakayo aliyepanda juu ya mti ili AMUONE Yesu akipita"Mkutano huo mkubwa pia ulihudhuria na RPC wa Rukwa aliyekuwa amejificha ndani ya gari yake iliyokuwa imeegeshwa kwenye miti pembeni mwa uwanja wa mkutano."
We jamaa miyeyusho sana.
๐ฅ๐ฅ๐ฅ RPC amesikia live No Reforms No Election!๐ช๐ช๐ชHuyu sawa na Zakayo aliyepanda juu ya mti ili AMUONE Yesu akipita
Na wao wamechoka kutumwa kuua roho zinawasuta๐ฅ๐ฅ๐ฅ RPC amesikia live No Reforms No Election!๐ช๐ช๐ช
We jamaa yangu huku kwenye chama chetu CCM tunaona aibu ila basi tutafanyaje,,
Ungetuma na picha ili tuone kaaibu vizuri
Kunywa dawa upumzike Tajiri..Hii habari hata mtoto wa chekechea anajua kuwa IMETOLEWA na nyumbu aliyeishiwa au kukaukiwa hata na common sense
Hii sio sawa.. CCM iingilie kati