MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Hivi hawa watu wakati wa kupiga kura huwa wanatokomea wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Bongo unafiki ni maisha ya kawaida kabisaLeo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election.
Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili yasikodishwe na Chadema kwa ajili ya kutangaza na kuhamasisha wananchi kuhudhuria mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga.
Lakini katika hali iliyowaacha midomo wazi viongozi wa CCM ni mafuriko makubwa ya watu waliohudhuria mkutano huo pamoja na hujuma kubwa ya kuandaa Bonanza katika uwanja wa Mandela na tamasha la ngoma katika kiwanja cha Sabato.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mkutano huo mkubwa pia ulihudhuria na RPC wa Rukwa aliyekuwa amejificha ndani ya gari yake iliyokuwa imeegeshwa kwenye miti pembeni mwa uwanja wa mkutano.
View: https://twitter.com/OleMtetezi/status/1904950670773346380?t=6hCRQj8ixPrNZrNNI9ugnQ&s=19
Kila watakapo jaribu kuzuia watajikuta wanaharibu zaiditamasha la ngoma katika kiwanja cha Sabato.
Labda Makalla aje na Maboksi aliyoyaandika Ebola ya Chadema.Hii sio sawa.. CCM iingilie kati
Tatizo siyo wapiga kura (watu) kutokupiga kura bali wanaotangaza matokeo ya kura ni makada wa CCM ndiyo sababu ya no reforms no election. Kupata Katiba Mpya na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi!Hivi hawa watu wakati wa kupiga kura huwa wanatokomea wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Bongo unafiki ni maisha ya kawaida kabisa
HahahahHii sio sawa.. CCM iingilie kati
Huwa wanapiga kura na wanachagua upinzani ila ushindi wa upinzani unaibwa na CCM.Hivi hawa watu wakati wa kupiga kura huwa wanatokomea wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Bongo unafiki ni maisha ya kawaida kabisa
Acha kujizima data hawa woote wana kadi za kupigia kura na huwa wanaenda vituoniHivi hawa watu wakati wa kupiga kura huwa wanatokomea wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Bongo unafiki ni maisha ya kawaida kabisa
Kwa staili hii CCM twafwaLeo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election.
Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili yasikodishwe na Chadema kwa ajili ya kutangaza na kuhamasisha wananchi kuhudhuria mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga.
Lakini katika hali iliyowaacha midomo wazi viongozi wa CCM ni mafuriko makubwa ya watu waliohudhuria mkutano huo pamoja na hujuma kubwa ya kuandaa Bonanza katika uwanja wa Mandela na tamasha la ngoma katika kiwanja cha Sabato.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mkutano huo mkubwa pia ulihudhuria na RPC wa Rukwa aliyekuwa amejificha ndani ya gari yake iliyokuwa imeegeshwa kwenye miti pembeni mwa uwanja wa mkutano.
View: https://twitter.com/OleMtetezi/status/1904950670773346380?t=6hCRQj8ixPrNZrNNI9ugnQ&s=19
Safi sana. Akifika kazini anawahadithia wenzange No Reform No Election😂😂Mkutano huo mkubwa pia ulihudhuria na RPC wa Rukwa aliyekuwa amejificha ndani ya gari yake iliyokuwa imeegeshwa kwenye miti pembeni mwa uwanja wa mkutano.
Hivi anayelia nani kati yangu na Yako?!!! Eti nyumbuSasa kinachokuliza nini?
Futa machozi basiHivi anayelia nani kati yangu na Yako?!!! Eti nyumbu
Kwani kura ndio zinazotoa mshindi?Hivi hawa watu wakati wa kupiga kura huwa wanatokomea wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Bongo unafiki ni maisha ya kawaida kabisa
Tulia ww 🌈Hivi anayelia nani kati yangu na Yako?!!! Eti nyumbu
We jamaa yangu huku kwenye chama chetu CCM tunaona aibu ila basi tutafanyaje,,
Ungetuma na picha ili tuone kaaibu vizuri
Kwa nini anajificha? Saa ya ukombozi ni sasa!"Mkutano huo mkubwa pia ulihudhuria na RPC wa Rukwa aliyekuwa amejificha ndani ya gari yake iliyokuwa imeegeshwa kwenye miti pembeni mwa uwanja wa mkutano."
We jamaa miyeyusho sana.
RPC anakubali kimya kimya
Maandamano inategemea na wananchi wa eneo husikaRPC ni lazima ahudhurie hata mkuu wa usalama mkoa na wilaya ili wajiandae kwa nguvu kubwa kulingana na ukubwa na nguvu ya Chadema .
Ila Chadema na ACT awamu hii wasiwe wapumbavu kwenye kuandaa maandamano .
Maandamano yanapaswa yawe nchi nzima . Kila mahali kwenye mikusanyiko mikubwa Kama masoko ,biashara ndogo ngogo na stendi.