Tutaelewana tu.. mamaee..Leo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election.
Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili yasikodishwe na Chadema kwa ajili ya kutangaza na kuhamasisha wananchi kuhudhuria mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga.
Lakini katika hali iliyowaacha midomo wazi viongozi wa CCM ni mafuriko makubwa ya watu waliohudhuria mkutano huo pamoja na hujuma kubwa ya kuandaa Bonanza katika uwanja wa Mandela na tamasha la ngoma katika kiwanja cha Sabato.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mkutano huo mkubwa pia ulihudhuria na RPC wa Rukwa aliyekuwa amejificha ndani ya gari yake iliyokuwa imeegeshwa kwenye miti pembeni mwa uwanja wa mkutano.
View: https://twitter.com/OleMtetezi/status/1904950670773346380?t=6hCRQj8ixPrNZrNNI9ugnQ&s=19
Mimi sio mwanasiasa lakini kwa CCM kumuweka Wasira pale,,,,,naamini kweli uchawi upo.We jamaa yangu huku kwenye chama chetu CCM tunaona aibu ila basi tutafanyaje,,
Ungetuma na picha ili tuone kaaibu vizuri
Unatafuta sugar daddy nini we kibiritingoma, mbona nilikuwa siongei na wewe?!!!!Tulia ww 🌈
Subiri tutaona.Hiko chama cha saccos mwenyewe kaingia mitini, nyie mapoyoyo mnaendelea kupigwa eti tone tone.
Kabla hamjachanga mjue pesa zenu zinatumika vipi mabwege nyie.
Account ya ruzuku ni moja tu hamjui hata hizo pesa zinaenda wapi, nyie kila mlio wa mchango mnafuata tu mnaliwa kichwa.
Changeni mkumbuke mna deni la x mwenyekiti na wakweze.
Na ofisi yao.
Kaeni mkao wa kuliwa.
Hizo pesa zimetoka wapi?Nyie mnawatu sisi ccm tunamapesa tunakula kuku kwa mrija
Aya nani ameula apo🤗
Hivi hata hawajui kuwa simu zina sauti kubwa kuliko hayo magari ya matangazo?Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili yasikodishwe na Chadema kwa ajili ya kutangaza na kuhamasisha wananchi kuhudhuria mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga.
Tena kutoka GamboshiMimi sio mwanasiasa lakini kwa CCM kumuweka Wasira pale,,,,,naamini kweli uchawi upo.
Hahahah.....So amazingUnaambiwa wananchi wamemsindikiza Lissu hadi hotelini alipofikia na wakagoma kuondoka🤣🤣🤣
Huyu jamaa kweli ni mpakwa mafuta wa Mungu mwenye kazi maalum ya Mungu kwa watanzania
Hahaha wamesahauHivi hata hawajui kuwa simu zina sauti kubwa kuliko hayo magari ya matangazo?
Nyie nyumbu uzushi ndio ujuzi wenuLeo ilikuwa zamu ya wilaya za Kalambo na Sumbawanga kutembelewa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Mh. Tundu Lissu ambaye ameendeleza kampeni yake ya No Reforms No Election.
Katika jambo la kusikitisha na aibu kubwa tangu jana CCM walizuia magari yote ya matangazo kwa kuwalipa wamiliki wake ili yasikodishwe na Chadema kwa ajili ya kutangaza na kuhamasisha wananchi kuhudhuria mkutano mkubwa wa hadhara mjini Sumbawanga.
Lakini katika hali iliyowaacha midomo wazi viongozi wa CCM ni mafuriko makubwa ya watu waliohudhuria mkutano huo pamoja na hujuma kubwa ya kuandaa Bonanza katika uwanja wa Mandela na tamasha la ngoma katika kiwanja cha Sabato.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mkutano huo mkubwa pia ulihudhuria na RPC wa Rukwa aliyekuwa amejificha ndani ya gari yake iliyokuwa imeegeshwa kwenye miti pembeni mwa uwanja wa mkutano.
View: https://twitter.com/OleMtetezi/status/1904950670773346380?t=6hCRQj8ixPrNZrNNI9ugnQ&s=19
Hata akina Lucas Mwashamba na Kipara kipya wamechoka sasaWe jamaa yangu huku kwenye chama chetu CCM tunaona aibu ila basi tutafanyaje,,
Ungetuma na picha ili tuone kaaibu vizuri
Lete ukweli acha kutukana watuNyie nyumbu uzushi ndio ujuzi wenu
Simuoni brother Lucas kajificha wapi?Hata akina Lucas Mwashamba na Kipara kipya wamechoka sasa
Hii ni public domain, huyo unayetaka kuongea naye mfuate inbox. Unakwama wapi 🌈Unatafuta sugar daddy nini we kibiritingoma, mbona nilikuwa siongei na wewe?!!!!
Na bado mtachanganyikiwa sana mwaka huu baada ya hizi propaganda zenu mfu kufeli.Hiko chama cha saccos mwenyewe kaingia mitini, nyie mapoyoyo mnaendelea kupigwa eti tone tone.
Kabla hamjachanga mjue pesa zenu zinatumika vipi mabwege nyie.
Account ya ruzuku ni moja tu hamjui hata hizo pesa zinaenda wapi, nyie kila mlio wa mchango mnafuata tu mnaliwa kichwa.
Changeni mkumbuke mna deni la x mwenyekiti na wakweze.
Na ofisi yao.
Kaeni mkao wa kuliwa.
Bank🤗Hizo pesa zimetoka wapi?