Paparazi Muwazi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 310
- 80
Huo ndio ukweli wenyewe...!Baada ya serikali kuingilia kati na kuvishauri vyombo vya habari kuepuka habari za Wangwe zenye mwelekeo wa kuvunja utawala wa sheria na baada ya siri ya CCM kusambaza waraka wa Wangwe kugundulika. Sasa mkakati mpya umeanza wa kusambaza vipeperushi vidogo vinavyoeleza kwamba Freeman Mbowe, Dr Slaa, Zitto na Mnyika ni wauaji wakubwa CHADEMA waliomuua chacha wangwe.
Yani serikali ya ccm iwe na ushahidi halafu wawaache hao wanaosema wamemwua Wangwe mtaani....Huu ni mtaji wa ccm wa kisiasa...Na kama nilivyojuwa ccm wanataka kuitumia kama karata yao...Wapinzani wangekuwa wajanja wangeungana sasa nyuma ya Mrema...Mrema Rais...Makamu Slaa...Waziri Mkuu Zitto...Makamu wa pili wa Rais Lipumba...Na huko Zenji mnaurekebisha mungano...Waziri wa mambo ya ndani Mbatia...Mengine mjazie...Hiyo ikiwa ni serikali kivuli ili kuwabipu ccm...Basi wataufyata!Huo ndio ukweli wenyewe...!
Hapa hakuna uchonganishi wala nini, hii ni mbinu chafu ya CCM ya kutaka kuondoa FOCUS kwenye UFISADI ili watu waanze kujadili Upuuzi wao. TUNATAKA MAFISADI WASHITAKIWE KWANZA Then tuangalia mambo mengine.