CCM yasikitishwa Rais Jakaya kuhusishwa na ufisadi


Nimeanza kumuonea huruma Kikwete maana alizani kuwa Lowasa akitoka ndiyo mambo yamekwisha na sasa ana mzimu mwingine wa watoto wachanga wanaokufa bila madawa unazidi kumwandama..

poor guy.. Mwachie Shein nchi amalizie maana wewe unazidi kuchafuka day after night!
 
Kuna mambo ya kumuonea huruma Kikwete Lakini suala la EPA na RIchmond yanatufanya tuamini kwa asilimia 80% alizopata wakati wa uchaguzi kuwa kuna namna anajua.

Mimi ningependa kujua haya:
Je ana mpango gani na kupunguza gharama za Umeme? Je ni haki kwa watanzania kuendelea kulipa gharama hizi, Je watarudishiwa na nani?

Je tunaweza baadaye kudai hata riba ya gharama zinazolipwa?

Ya EPA yameongewa mengi tunasubiri majina yafike mahakamani, tu. lakini je kwani leo hii wangapi wamekamatwa na polisi tanzania nzima japo kwa kukwapua vitu vidogo?

Au kwa kifupi kwa sababu watanzania wamekosa majibu ya maswali madogo madogo ni haki ya msingi kusema anaushirika wa karibu sana na Mafisadi au kwa kifupi zaidi ni FISADI. Nina uhakika kabla ya kukasirika/au CCM kukasirika na maneno hayo wamshauri afanye kazi .
 


JK alitumia pesa za EPA na hata zingine toka IRAN kila mmoja anajua hili na ndiyo issue inakuwa too hot na wanashindwa kuizima .
 
Kwa mtindo huu Wewe MH Kikwete na serikali yako hamuwezi kusita kuanza kuua watu wote wanaojua siri zenu ili kuficha ukweli kwamba Wewe Kikwete ndiyo kiongozi wa Ufisadi.

Yale yale ya Mohamed Inteprise. Unga mbovu wa ngano na vifo vya wakemia.
 
JK alitumia pesa za EPA na hata zingine toka IRAN kila mmoja anajua hili na ndiyo issue inakuwa too hot na wanashindwa kuizima .

Hakuan hata senti hamsini moja chapa Sungura iliyotoka Iran zote waliziiba BOT.
Zote kabisaaa.
 
Kwa ujinga wake MH Kikwete alidhani kwamba Bush akitinga Tanzania basi sisi wote tutnyamaza kwa vile anaungwa mkono na kiongozi wa taifa kubwa.
Asijue kwamba sisi tunaijua Marekani kuliko yeye.

Marekani siku zote haina rafiki wa kudumu ila ina mambo ya kudumu inayo yahitaji kutoka nchi zote duniani.

Kesho NKorea wakitokea kuwa na mafuta kuliko Saudia N Korea atakuwa Rafiki namba moja wa Marekani.

MH Kikwete tutakula jamvi moja na sahani moja mpaka 2010. Wakati huo tutahamishia dhambi zenu zote katikati ya chama chenu.

kama hajachapana bakora za makalioni kwa mara ya kwanza huko kizota basi huo moto wa uhasama hakuna atakaye uzima!!!!
 
Mimi nitasema hivi:-
Kuna mengi ya kumwonea huruma JK wetu lakini sio swala la EPA kwa sababu hukumu yake ndiyo itaweza kutupa mwanga zaidi ktk maswala mengine ya Ufisadi yanayokuja.

Kifupi binafsi nina hakika kuwa leo hii hili swala la EPA linewekewa nakshi zaidi ili kuficha scandal za Richmond na Buzwagi kiasi kwamba wananchi wapoteze mwelekeo wao toka kwa viongozi wahusika wakubwa wa scandal hizi za Ufisadi na kuzielekeza kwa samaki wadogo.
 
Kwa mtindo huu Wewe MH Kikwete na serikali yako hamuwezi kusita kuanza kuua watu wote wanaojua siri zenu ili kuficha ukweli kwamba Wewe Kikwete ndiyo kiongozi wa Ufisadi.

Yale yale ya Mohamed Inteprise. Unga mbovu wa ngano na vifo vya wakemia.
MADILU,unakumbuka wakati wa uteuzi wao 2005 ndani ya CCM? walipofikia kuchafuana Sumaye alitahadharisha kuwa ukiona mtu anatumia kalamu(vyombo vya habari)kuchafua wengine ili apate,basi akipata hashindwi kutumia risasi kuwanyamazisha kulinda kile alichokipata.
OTEA ! ALIKUWA ANALENGA WAPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…