Elections 2010 CCM yatafakari mbinu za kuzima mdahalo wa Uraisi...

Huwa mwalimu wenu ni nani? Wanafunzi wake wote mnafanana katika kujenga hoja na matumizi ya lugha, mwambie awafundishe kwa ubunifu zaidi mmezidi ku copy-paste

Malaria sugu
 
Mdahalo kitu kidogo sana kwa JK, hakuna asiyefahamu kwamba uwezo wa JK ni mkubwa mno kupitiliza ukimlinganisha na wapinzani na hususani slaa ! namshauri slaa angerudi kwenye ubunge tu ! angalau ubunge SLAA anafanananao.

Kwa bahati mbaya sana, sijawahi kuona JK akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa ufasaha au umakini unaotaka tuukubali. Mara zote anazokuwa akihojiwa, huwa anatoa majibu ya ajabu ajabu. Sijui ni midahalo gani ambayo unaizungumzia ndugu yangu. Nasema hivi bila chuki wala kuwa na nia ya kushabikia lolote. natamani nione mdahalo au mahojiano yoyote ya JK ambapo majibu mazuri na yenye ufanisi yalitolewa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…