Uchaguzi 2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

Kwenye kampeini za ubunge kuna mambo na vitimbi huko lumumba.

Huyu hapa niwanachama wa ccm akiiumbua ccm na kuwaambia ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm inatakiwa iseme imefanya nini siokila uchaguzi nitafanya nitafanya maji ndiokete yaokubwa kila uchaguzi Mantua mama ndoo kichwani tumechoka naahadi ahadi watoe wapinzani
 
10 September 2020
Kigoma, Tanzania

Kampeni za Ubunge 2020, mgombea wa CCM akosoa sera za CCM Mpya
Kirumbe Ng'enda mgombea ubunge wa CCM Kigoma mjini akosoa sera za serikali ya CCM Mpya kufanya mzunguko wa fedha kuwa mdogo sana Kigoma
Historia: Kirumbe Ngande ametokea wapi : kikazi: kisiasa Kilumbe Ng'enda: Mbunge Azzan Anahusika na Biashara ya Dawa za Kulevya
Ni MWANACCM anayeamini Nitasema Kweli Daima kama ahadi ya mwana CCM inavyosema.
 
10 September 2020
Kigoma, Tanzania

Kampeni za Ubunge 2020, mgombea wa CCM akosoa sera za CCM Mpya
Kirumbe Ngenda mgombea ubunge wa CCM Kigoma mjini akosoa sera za serikali ya CCM Mpya kufanya mzunguko wa fedha kuwa mdogo sana Kigoma
Wagombea wa ccm hawana sera. Lazima wampinge Rais wao ili wapate cha kuongea. Hali ya maisha iliyosababishwa na Magufuli ni mbaya.
 
Kwenye kampeini za ubunge kuna mambo na vitimbi huko lumumba.

Huyu hapa niwanachama wa ccm akiiumbua ccm na kuwaambia ukweli.
View attachment 1566839
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli kama si ubabe wa Magufuli ccm ingekuwa haina tumaini lolote kwa sasa na ingepoteza kwa margin ya kutisha watu wamechoka maneno aisee
Imagine mtu anakwambia kajenga sgr wakati hata Morogoro haijafika kikamilifu ndani ya miaka 3 sasa si itafika Mwanza 2035?
 
10 September 2020
Kigoma, Tanzania

Kampeni za Ubunge 2020, mgombea wa CCM akosoa sera za CCM Mpya
Kirumbe Ngenda mgombea ubunge wa CCM Kigoma mjini akosoa sera za serikali ya CCM Mpya kufanya mzunguko wa fedha kuwa mdogo sana Kigoma
Huyu tayari ameshaangushwa yaani kampeni 2 tu? Tayari sauti imeshagoma?
 
Kwenye kampeini za ubunge kuna mambo na vitimbi huko lumumba.

Huyu hapa niwanachama wa ccm akiiumbua ccm na kuwaambia ukweli.
View attachment 1566839
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema huyo anasema ana kadi ya CCM ya mwaka 1962 mwongo miaka hiyo ilikuwepo TANU sio CCM

Chadema ndio lugha hai utasikia CCM ilikuwepo madarakani Saudi ya miaka hamsini wakihesabu kuanzia mwaka 1961 Tanzania ilipopata uhuru wakati CCM ilizaliwa 1977

Huyo mzee fix my Chadema aliyevaa nguo mtumba za CCM

Mtu wenye huyo Chadema hakuna kadi ya CCM ya mwaka 62
 
Hovyo kabisa nyie chadema, kiswahili gani sasa, unapoandika HUYU HAPA NI WANACHAMA WA CCM. we we hata elimu ya ngumbalo umesoma kweli?? Halafu usikute we we ndo tumaini makene eti anakutegemea kwa kusambaza propaganda, hovyo kabisaa.
Wacha kurusha ngumi hewani, kitu kinaonekana na kinasikika hayo mapovu ni ya nini sasa?

Wacha ushamba ushamba wa lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe wacha ukazuzu wa mambo ya siasa, ccm ni zao la Tanu hilo halina ubishi.

Hayo ya ccm ilizaliwa lini unayajua wewe uliye kwenda angalau elimu ya ngumbalu chini ya mwembe.

Ccm ndiye mtoto wa Tanu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm inatakiwa iseme imefanya nini siokila uchaguzi nitafanya nitafanya maji ndiokete yaokubwa kila uchaguzi Mantua mama ndoo kichwani tumechoka naahadi ahadi watoe wapinzani
Watu wa kipindi hiki siyo wa kuwadanganya kama wa miaka ya 80, watu sasa hivi wana hoji nini umewafanyia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…