Uchaguzi 2020 CCM yaumbuliwa na wanachama wao

10 September 2020
Kigoma, Tanzania

Kampeni za Ubunge 2020, mgombea wa CCM akosoa sera za CCM Mpya
Kirumbe Ngenda mgombea ubunge wa CCM Kigoma mjini akosoa sera za serikali ya CCM Mpya kufanya mzunguko wa fedha kuwa mdogo sana Kigoma
Huyu ajiangalie Jiwe asije akatengua uteuzi wake hata kabla ya kupigiwa kura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaaa haaaaa mumevurugwaaaa, kila kiki inawabumiaaa. Hovyokabisaa. Mlidhani kampeni ni uanaharakati wa kupayukapayuka?
Mzee amewaumbua nyinyi matapeli wa kisiasa, kila mwaka mna waahidi hewa tangu uhuru hadi sasa!

Wananchi wamechoshwa na ulaghai wenu na wamesema sasa ni zamu ya kumchagua mh Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanza kuamini kuwa hiyo sgr hata Tabora haitafika na itabakia kwenye vitabu vya historia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hadi hawa wazee wanasema bora wachague vyama vingine basi CCM ipo maji ya shingo.
Ccm sasa hivi ipo icu, tumaini lao lilibakia vijijini tu ambako iliamini kuwa watu bado hawaja elimika vya kutosha kuweza kuhoji haki zao za msingi.

Sasa hivi imekuwa tofauti sana, maana hii elimu yao ya shule za kata ndiyo imekuwa mwiba kwa ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haifiki hiyo bhana!!! Labda tufe kwa njaa ndio ifike kama waswahil wasemavyo punda afe mzigo ufike
 
Ccm inatakiwa iseme imefanya nini siokila uchaguzi nitafanya nitafanya maji ndiokete yaokubwa kila uchaguzi Mantua mama ndoo kichwani tumechoka naahadi ahadi watoe wapinzani
Nenda mikutanoni ya CCM ukasikilize au ingine YouTube

CCM inaanza kwanza kueleza kwenye miaka mitano iliyopita imefanya nini halafu ndio inaeleza mitano ijayo itafanya nini

Unajua wewe uko dunia yako unayoijua mwenyewe

Hivi husikii CCM inaposema tumejenga shule,barabara,reli,vituo vya afya,mashule nk?

Unaumwa au? Ulichoandika ujinga mtupu.Maskini hivi wewe in a hata kaelimu kadogo tu? Kajiendeleze walau nakuonea huruma ujinga usio hai mkubwa mob.Utapata tabu maisha
 
10 September 2020
Kigoma, Tanzania

Kampeni za Ubunge 2020, mgombea wa CCM akosoa sera za CCM Mpya
Kirumbe Ngenda mgombea ubunge wa CCM Kigoma mjini akosoa sera za serikali ya CCM Mpya kufanya mzunguko wa fedha kuwa mdogo sana Kigoma
Kwa kukurupuka hukumwelewa! Pole sana
 
Wewe mtoto wa juzi tu mzee anaijuwa CCM tangia miaka hio na anasema mnaeka ahadi hewa hadi mumempokonya mike.
 
Wacha mapovu mwanachama mwenzenu kaamua kuwavua nguo sasa wewe badala ya uchutame unaaza kumkimbiza huyo mwana chama aliye wavua nguo.

Muwache tabia za kuwadanganya wananchi, kuanzia jana hiyo badilikeni maana sasa mmeshaanza kukataliwa hata vijijini mliko kuwa mmebakia nako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mtoto wa juzi tu mzee anaijuwa CCM tangia miaka hio na anasema mnaeka ahadi hewa hadi mumempokonya mike.
Hakuna CCM ya miaka ya 62 wewe hata awe kikongwe huyo mzee mjinga tu huyo

Kuna wajinga vijana na wako wazee wajinga huyo ni mzee mjinga
 
Hakuna CCM ya miaka ya 62 wewe hata awe kikongwe huyo mzee mjinga tu huyo

Kuna wajinga vijana na wako wazee wajinga huyo ni mzee mjinga
Leo hii unamtukana mzee kisa kawakosoa? Huyo mzee kosa lake nini?

Hapo bado na ni mwendelezo wa wananchi kuikataa ccm!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…