Elections 2010 Ccm yauwa mtu kawe.

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,584
Reaction score
6,136
Kaazi kweli kweli. CCM wamekaa kimya?

Sasa sijui vyama vingine huko Kawe waandike barua NEC kuwa CCM ni chama cha Vurugu na Kuuwa watu? Utashangaa NEC wamebugia maji mdomoni. CCM na POLISI yao watakaa kimya kama vile hakikutokea kitu.

CCM mnatupeleka PABAYA. Damu kibao zimeshamwagika na zitaendelea kumwagika. Ileeni hii hali ila familia zenu pia zitaonja joto kama Moto ukiwaka.

STOP THIS STUPID CIVIL WARS.

 
Si hata vyama vingine ndio viandike. Vipi huko kawe hakuna msimamizi wa uchaguzi? Au hawa wasimamizi wanapewa mafunzo tofauti? Msimamizi wa maswa fasta alikimbilia kuandika barua na kuituma kwa kina kiravu. Polisi kimya kama vile hakuna mauaji yametokea. Unafiki huu una mwisho tu.
 
rest in peace...
Yote yanaisha october
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…