Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) CCM Zanzibar Ndg. Khadija Salum Ali amefanya zoezi la kuhamasisha Madereva wa Boda boda Saateni (Pinda Mgongo) juu ya suala la kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura 2025 (Awamu ya Pili) Wilaya ya Amani Mkoa wa Mjini - Unguja.