Uchaguzi 2020 CCM yazidi kujihakikishia ushindi Uchaguzi Mkuu Kanda ya Ziwa

Kiasi kikubwa cha watu wa aina yako ndio tatizo la msingi la nchi hii. Small dreams!! Small dreams!!

Bro ukiendeleza hizi small dreams, mafanikio utayasikia na kuyaona kwa wengine tu!!
Kwani wakisema tu wamewafanyia nini kipi kinaharibika mkuu acha kujifanya mjuaji wakati unajua hujui..
 
Kwa hiyo meli imetengenezwa kwa pesa ya CCM eti. Akili za maccm bwana ni za mgando hivi. Mnasifia mno mpaka akili zinaganda. Yaani meli itegenezwe kwa hela ya wananchi wote halafu halafu tuwashukuru CCM? Wamechangia kiasi gani kuliko wengine?
 
Hahaha kwani wameanza kushindana na nani huko kanda ya ziwa?!
 
Uko sahihi mkuu,yaani pamoja na refa kuwa wa kwao bado hawajiamini vigisu nyingi jamaa hataki wakurugenzi wawatangaze wapinzani kama wameshinda maajabu hayo only in Tanzania.
 
Wapinzani kanda ya ziwa hawana chao hukoo
 
Kununuliwa kwa hiyo meli ni wajibu wa serikali iliyoko madarakani wala si hongo kwa wananchi ili ccm wapate kura!!Hivyo wananchi wako huru kuwapiga chini!!.
 
Mashoga ya Lumumba mnatabu sana mnaonekana mitaro mlishalegezwa na mwenyekit wenu hadi akil zimewatoka machoko nyie na mwenyekit wenu.
 
 
 
Kodi ya wananchi ndio imetengeneza hiyo Meli na sio ela ya CCM. Pesa ya CCM inakazi moja tu ya kurubuni wapinzani waunge juhudi...Usijaribu kuwakumbusha watu wa Kagera kauli tata na za kuvunja moyo za Jiwe nyakati tofauti wakati wa matatizo ya tetemeko la ardhi na mafuriko ya hivi karibuni ...anaweza akakosa hata kura chache alizopota 2015.
 
Nasikia Bibi Husna wa Chato anawasumbua CCM vibaya. Nadhani tumwache apambane na ccm kanda ya ziwa anawatosha sana.
Muda si mrefu nilikuwa naongea na ndugu yuko Botswana. Huko bado nchi iko kwenye "lockdown" na vyombo vya habari vinaamilikiwa na Serikali (inafuata na kutekeleza maagizo ya Mabeberu). Kwa sababu hiyo Bibi Husna asingepata kutamba kama anavyofanya Chato, tena nyumbani kwake Rais. Lakini bado upinzani na wanahabari wanadai hakuna uhuru nchini?

Kuanza kazi kwa ya hizo meli, Ziwa Victoria, hakika ni mwanzo wa safari ya matumaini kwa wakazi wa ukanda huo, japo wapinzani hudai ni "maendeleo ya vitu". Maendeleo hayo ya vitu, bila shaka, ndiyo yatakayowatoa wapinzani nje ya ulingo wa siasa
 

Kwa kujiamini wanamtandao wa upinzani mko vizuri.

Ila kwa sasa mbadili mapigo badala ya lawama, shutuma na manung'uniko, mjenga hoja za kunadi Sera na Mikakati yenu ya maendeleo. Ila nadhani ni mtihani msio uweza kwa kuwa hamna Sera/Mikakati. Mmezoea hoja za mihemuko (kama hiyo yako Mkuu, Alexander The Great) na matusi juu
 
Wewe ndio unapiga kura?Kipaumbele Chao wapiga kura wa Kanda ya ziwa unakijua?
 
Kwa meli ni 12,000/=.Halafu unaanza safari usiku unafika asubuhi.Hivyo muda wa kazi mchana haupotei.
Kuna watu wanafanya kazi usiku, tatizo lako umeandika kishabiki sana hizo ni kodi zetu wananchi CCM tuliwapa nchi kusimamia ilani yao kwahiyo msijisifie sana
 
Kuna watu wanafanya kazi usiku, tatizo lako umeandika kishabiki sana hizo ni kodi zetu wananchi CCM tuliwapa nchi kusimamia ilani yao kwahiyo msijisifie sana
Hadi kukujibu naona aibu.Nahisi umemnukuu mtu asiyemlengwa.
 
Zaidi ya nusu ya miradi yote nchini ipo kanda ya ziwa changanya udikteta na kutokuwepo tume huru na ubabe wa kuua wapinzani ccm bado hawana uhakika wa kushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…