Uchaguzi 2020 CCM yazidi kujihakikishia ushindi Uchaguzi Mkuu Kanda ya Ziwa

Kununuliwa kwa hiyo meli ni wajibu wa serikali iliyoko madarakani wala si hongo kwa wananchi ili ccm wapate kura!!Hivyo wananchi wako huru kuwapiga chini!!.
Out of point. Subiri kesho uone.
 
Zaidi ya nusu ya miradi yote nchini ipo kanda ya ziwa changanya udikteta na kutokuwepo tume huru na ubabe wa kuua wapinzani ccm bado hawana uhakika wa kushinda.
Badala ya kuendekeza kunung'unika na lawama, uje na suluhisho la mapungufu hayo. Watoto ndio tunaamini ni wenye tabia ya aina hiyo.
 
Safi sana comrade katika ili.Pia tuwakumbushe wananchi kua pesa zao za rambi rambi wakati wa janga la tetemeko huko Kagera na kodi zao zimetumika kutengeneza hizi Meli.
Je,unajua?
Hakuna kiongozi mzalendo kama Hitler katika ujenzi wa miundombinu na uchumi miaka ya 1932.
 
Kuingiza habari ya Adolph kwenye hili suala ni upuuzi. Kama michango ilizidi na ikatumika kwa maendeleo tatizo lipo wapi? Au ulitaka wapewe wakanywe lubisi?
Mbona kule ukara michango ilizidi na zilizobaki zilijenga kituo cha afya?
 
Na li baba lao limejua pa kutega...karibia na kampeni tu[emoji3][emoji3]mambo ndio hayoooo[emoji3]tena msipojitathmini na katiba mtaigeuza aongoze hadi 2040[emoji3][emoji3]
 
"Askofu Bagonza ahamasisha watu kufanya maandamano kudai tume huru tarehe 8". Twaweza wo wanajua kabisa maana hata kibali cha kufanya utafiti walikuwa hawana alafu wanapotosha umma. Hii serikali huwa haionei watu.
 
We pimbi kwel kwan askofu aliongea gazeti likaandika kosa liko wapi la gazet? Au askofu hakuongea kauli kama hiyo? Dah kwel maccm mnataka iwe inaandikwa habar za kuitukuza ccm na mkulu wao atukuzwe hiyo ndo yenu
 
Una uhakika kama aliongea wewe mbwa koko?
 
We pimbi kwel kwan askofu aliongea gazeti likaandika kosa liko wapi la gazet? Au askofu hakuongea kauli kama hiyo? Dah kwel maccm mnataka iwe inaandikwa habar za kuitukuza ccm na mkulu wao atukuzwe hiyo ndo yenu
We mbwa koko una uhakika kama aliongea? Weka clip hapa akiongea.
 
"Askofu Bagonza ahamasisha watu kufanya maandamano kudai tume huru tarehe 8". Twaweza wo wanajua kabisa maana hata kibali cha kufanya utafiti walikuwa hawana alafu wanapotosha umma. Hii serikali huwa haionei watu.

Kudai tume huru ni kosa? Kukosa Kibali inamaanisha usemacho ni uongo? Hiyo sheria ya takwimu si ndio zile sheria zenye nia ovu kama za wakoloni?
 
Kudai tume huru ni kosa? Kukosa Kibali inamaanisha usemacho ni uongo? Hiyo sheria ya takwimu si ndio zile sheria zenye nia ovu kama za wakoloni?
Wewe acha kukurupuka ishu sio kudai tume huru bali kuchapisha habari za uongo ili kuleta chuki kwa serikali.
Twaweza hawakubanwa kwa ajili ya sheria ya takwimu,bali hawakuwa na kibali toka Costech na walifanya tafiti za kupotosh umma. Kwa ufupi walikuwa wanatumiwa na Chadema wakishiriana na mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…