Uchaguzi 2020 CCM yazidi kujihakikishia ushindi Uchaguzi Mkuu Kanda ya Ziwa

Ambaye hamuelewi Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Yawezekana hata yeye mwenyewe huwa anajisahau.
 
Ambaye hamuelewi Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Yawezekana hata yeye mwenyewe huwa anajisahau.
Shida watu hamfahamu majukumu ya opposition. Huwa nashangaa sana mtu aksiema JPM kajenga daraja basi upinzani haupati kura!! Hivi mpinzani anapewa kura sababu kajenga daraja au sababu kaitumikia vyema nafasi yake ya kuicheck serikali?
Ingekua hivyo huko marekani/Uingereza kusingekua na opposition maana tayari miundombinu yote ipo miaka na miaka!!

Nikukumbushe tu kule Afrika kusini chama cha makaburu (DA) ndio chama kikuu cha upinzani!! Ina maana hao wananchi hawajui ANC ilileta uhuru na maendeleo ya watu weusi?

Elimu ya uraia ni muhimu sana
 

Mungu ajalie na iwe kweli imetengemaa , tusije harakisha kwa sababu ya october kumbe bado inapumulia mipira...ikawa mambo ya REST NOT IN PEACE
 
Protest means a somebody wants changes!!!, Ni dhahiri kuwa upinzani unaleta challenge kubwa kwa chama kilichoshika hatamu, shida inapoanzia ni upinzani kujitoa ufahamu na kubeza hata kile kidogo kilichofanyika, njooni na sera mpigiwe kura, sio kubeza na kukejeli kumbuka kuwa siasa Safi, Afya na Elimu ni chachu ya maendeleo.
 
Mkuu labda niseme tu, kupitishwa JPM na kufanya miradi mingi kwa mkupuo ni sababu ya presha ya upinzani. Hivyo sio Sawa watu kushabikia humu kuwa CCM itashinda 98% maana likitokea hilo serikali haitowahi wajibika kabisa maana inajua haina mbadala.

Ko licha ya kumtaka JPM kushinda ila isiwe hizo asilimia..... Nchi itaporomoka.
 
Kama unakubali miradi imetekelezwa kwa mkupuo, Basi ni dhahiri Rais Jpm anamudu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Kama unakubali miradi imetekelezwa kwa mkupuo, Basi ni dhahiri Rais Jpm anamudu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkuu miradi imekuwepo toka enzi za Mkapa ko sio kma ni miujiza ya JPM bali ni obvious issue huwa jinsi gani miradi itafikia malengo iliyowekewa. Na hapo ndipo upinzani unahitajika ili kuiwajibisha serikali itekeleze iliyoahidi kupitia miradi hyo.

Mfano walisema zaidi ya Ajira million 1+ kupitia Viwanda. Je viwanda vimefikisha hizo ajira? Nani wa kuwahoji serikali?

Mkuu bila upinzani serikali italala irrespective JPM amefanya nini.
 
Ukombozi gani wakati mwanza tu bukoba masaa 9 kwa buss ni 20000 tu. Inamaana watu walikuwa hawawezi kusafiri?
Mi nikaamua kukaa kimya maana uongo unapochukua nafasi kwenye propaganda tena kutoka kwenye chama kinachoongoza nchi zaidi ya miaka 50's wote tunakuwa wajinga. CCM wanawafanya watanzania waonekane ni hopeless na ni mtu mmoja tu ndio mwenye akili ambaye ni mwenyekiti wa chama. Huu ni ujuha na watanzania sasa hivi wako tayari kwa hali yoyote ile
 
Let's wait for October....jasho linakutoka muda huu na bado CCM itakuongeza mno. Kizazi chako chote kitaongozwa na Ccm.
Hawa ni mawazo ya wafu watu wasiofikiri kabisa......

Watz wanataka mabadiliko wamtaka Lissu mtetezi wa kweli wa watz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…