Ccm zaivuruga ligi kuu!

Ccm zaivuruga ligi kuu!

Njilembera

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2008
Posts
1,496
Reaction score
609
Bila kujali utaifa wetu na hasa katika nyanja ambayo dunia nzima inatucheka kila siku kutokana na soka yetu kuwa hovyo, CCM kwa kuwa alihozi viwanja tulivyojenga sisi, anashindwa kufanya mikutano yake katika viwanja vya mikutano, na amesababisha uvurugaji wa ratiba ya ligi kuu. Hii ni sawa kweli

Source: mwananchi, Kampeni CCM zaivuruga Ligi Kuu
 
Back
Top Bottom