Bila kujali utaifa wetu na hasa katika nyanja ambayo dunia nzima inatucheka kila siku kutokana na soka yetu kuwa hovyo, CCM kwa kuwa alihozi viwanja tulivyojenga sisi, anashindwa kufanya mikutano yake katika viwanja vya mikutano, na amesababisha uvurugaji wa ratiba ya ligi kuu. Hii ni sawa kweli
Source: mwananchi,
Kampeni CCM zaivuruga Ligi Kuu