CCM Zanzibar wamemhoji Simai aliyejiuzulu Uwaziri wa Utalii Zanzibar

CCM Zanzibar wamemhoji Simai aliyejiuzulu Uwaziri wa Utalii Zanzibar

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Hii nchi kuna mambo ambayo ni vigumu kuelewa yanaendeshwa kwa nguvu gani.

Waziri amefanya tathimini akaona viatu vimezidi kuwa vikubwa akakaa pembeni; Mamlaka ya uteuzi ikakasirika. Je, walitaka hadi wamtumbue wao?

Sawa mamalka zimekasirika, hana kosa kwa mujibu wa sheria, chama kinamuita kumhoji....wanahoji kwanini kajiuzulu? Au wanahoji kwanini akusubiri atumbuliwe?

Kuteuliwa nchi hii ni utumwa mkubwa sana
 
Zanzibar ngumu sana yule Simai ni motor wa mji mkongwe Stonetown kwa hiyo sio mbu mbu anajua asilolitaka
 
Huyo adabu Hana, huwezi jibizana na rais, waendelee zaidi ya hapo
 
Hawa ccm washamba sana. Kwani mtu kujiuzulu nalo ni kosa? Haridhishwi na mwenendo wa serikali yenu. Si mumuache aendelee na maisha yake??
 
Back
Top Bottom