5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,275
- 2,410
Mtu wangu wa karibu zaidi ambaye ni muajiriwa wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi ameniambia "Jumatatu iliyopita tumetakiwa kupeleka majina yetu pamoja na vituo vyetu vya kupigia kura, mimi nishapeleka, boss wetu ametuita kikao na kutuambia ni kwamba agizo kutoka juu ni kwamba wafanyakazi wa serikali wote wanatakiwa washiriki kuipigia kura katiba inayopendekezwa na nilazima tuipigie ya Ndio''
Akaendelea kuniambia "mfanyakazi wa serikali ambaye atabainika hakwenda kupiga kura kibarua chake kitakuwa mashakani, mfanyakazi ataweza kupangiwa sehemu nyengine mbali kufanya kazi au kuachishwa kazi kabisa kabisa"
My Take:
Ivi ni sheria kwenye katiba mfanyakazi wa Serikali kulazimishwa kupiga kura? na hata kufukuzwa kazi au kupangiwa sehemu nyengine ya kazi kama hakushiriki kwenye mchakato wa kupiga kura?