CCNA(Cisco Certified Network Associate)

CCNA(Cisco Certified Network Associate)

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
791
Reaction score
414
Habari zenu wana jf,naomba kujuzwa chuo kizuri ambacho kinatoa course ya CCNA na gharama zake..Natanguliza shukrani kwa watakaonipa majibu
 
Nenda pale KITM mwenge Karibu na hospitali ya mama Ngoma... gharama ni USD 350!!! Jamaa anafundisha vizuri siutan na anavifaa.. UCC watu wengi sana ndio tatizo..
 
UCC mliman garama sana kwa wanafunzi wa UD $400 wasio wanafunzi wa UD $800 mm nlisoma mwaka 2011
 
Back
Top Bottom