habari zenu wana-jamvi, tunatoa huduma ya ufungaji wa cctv camera,electric fence,gate motor na video door bell iwe nyumbani, shuleni, ofisni hata kwenye eneo lako la kazi.
Kwasasa mteja hatohusika na gharama za kutuita site kufanya survey (kwa wakazi wa Dar), tupo Kigamboni Dar es salaam kama utakuwa na swali nikachelewa kujibu hapa basi usisite kunipigia kwa namba 0622667749